Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

Inawezekana, inategemea na lini umeanza kufuatilia mpira kwa kuangalia kwenye tv, sio live score
 
Kenge wewe!! Ungekuwa karibu ningekupiga makofi kabisa.
Yaani Yamal awe talented kupita Messi ?
Mkishalewa viroba mnakuja kujiandikia tu humu ndani , wewe mpira umeanza kuangalia juzi ?

Nenda kaangalie semi final ya UEFA barca vs Madrid 2011 alichokifanya mule katika mechi mmoja Bado ni Bora kuliko misimu yote ya Yamal.
Yaani ningekuwa karibu wewe dogo ningekukata makofi kabisa
 
This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders

Vission + composure 💯

Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥

Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Vile mtu anaweza kusema amezaliwa 2005 bila kutaja mwaka aliozaliwa.
 
Umeandika ujinga GERRAD , LAMPARD

haujui kuangalia mpira sio haujui mpira
Kwahiyo Gerrard na Lampard unawachukuliaje? Wewe mpira umeanza kufuatilia juzi hichi ulichoandika tu inaonekana umeanza fuatilia mpira 2022
 
Kenge wewe!! Ungekuwa karibu ningekupiga makofi kabisa.
Yaani Yamal awe talented kupita Messi ?
Mkishalewa viroba mnakuja kujiandikia tu humu ndani , wewe mpira umeanza kuangalia juzi ?

Nenda kaangalie semi final ya UEFA barca vs Madrid 2011 alichokifanya mule katika mechi mmoja Bado ni Bora kuliko misimu yote ya Yamal.
Yaani ningekuwa karibu wewe dogo ningekukata makofi kabisa
Hawa ndio wale mashabiki wa arsenal wameamua kutoa stress kwa kufanya mijadala isiyokuwa na uwiano hata kwa mbali tu.
 
😀😀😄 Huyu dogo angekuwa karibu naapa ningempiga makofi kabisa ili kumsaidia sio kumuonea.
Messi match za el classico enzi za Mourinho ziligeuka vita kabisa kina Ramos, pepe na Marcelo wanacheza ngumi kabisa lakini Messi Bado anaiwasha pamoja na rafu zote zile.

Halafu kanakuja kadogo kamoja kanalopoka tu , Legacy ya Messi tutailinda kwa wivu mkubwa sana burudani aliyotupa Messi as player inatosha kupiga huyu dogo mpaka akashindwa kutembea
 
humjui Messi umri wake huo ulisikia Messi kavunjika uzazi

huyo dogo ni balotel aliyechangamka
 
😀😀😄 Huyu dogo angekuwa karibu naapa ningempiga makofi kabisa ili kumsaidia sio kumuonea.
Messi match za el classico enzi za Mourinho ziligeuka vita kabisa kina Ramos, pepe na Marcelo wanacheza ngumi kabisa lakini Messi Bado anaiwasha pamoja na rafu zote zile.

Halafu kanakuja kadogo kamoja kanalopoka tu , Legacy ya Messi tutailinda kwa wivu mkubwa sana burudani aliyotupa Messi as player inatosha kupiga huyu dogo mpaka akashindwa kutembea
Kuna ila faulo aliwafunga Liverkuku pale Camp NOU ukimwambia mtu ile ni AI wala hataweza kubisha, yule mtu alizaliwa kwa ajili ya soka na Antonella Rocuzzo tu basi
 
Van djik anakuambia walienda dressing room akakuta Allison Becker na wenzake wanaangalia wanajiuliza amefanyaje mbona kama kuna vitu haviwezekaniki!
Klopp mwenyewe alicheka tu baada ya goli yeye mwenyewe alifurahia goal.

Halafu anakuja huyu dogo anaandika utumbo humu
 
Sijaona cha ajabu chochote kwa huyu dogo.Messi watu tulikua tunaenda kuangalia mechi za barca ili tumuone Messi anavyokokota watu
 
This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders

Vission + composure 💯

Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥

Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252

Lamine Yamal is a wonderful footballer and currently one of the world's best but Messi is the GOAT.
Visca Barca🔥🔥🔥🔥
 
Watoto wa juzi tu ndio wataichanganga hii mbuzi na CR7. Mnaongelea nini nyie?. CR7 kweli umlinganishe na hii filigisi?. Mapenzi yenu kwa mesi yasiwafanye muwe vipofu
Kuna msemo huku ughaibuni(a very popular phrase).
Moves na scorings za CR7 watu husema 'wow'!
Lakini moves na scorings za Leo watu husema 'how'?
CR7 does amazing things.
Leo does the impossible(unbelievable) things.
 
Back
Top Bottom