Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Hujui mpira mkuu..Kipi gaucho kafanya neymar hajafanya?
Hujui mpira mkuu..Kipi gaucho kafanya neymar hajafanya?
"........anaumua......" naona deki imemeza kanda sijakuelewa.Euro Spain match ngumu alikuwa anaumua nani
Kaangalie Mechi Barcelona vs PSG na Barcelona vs Chelsea ulete majibu. Messi hajawahi kuogopa beki yeyote hapa chini ya jua kuzuiYamal anaogopa beki ?
Mbona Messi kashawin kuwa stopped mara nyingi tu
Tujue ameanza kuangalia mpira lini.Umri umeingiaje hapo
Okocha umfananishe na john obi mikel? We kweli kiaziWengi mnamuweka okocha over neymar mmehadisiwa
Okocha anazidiwa skills na JOHN OBI ambae hakuwa amekutana na mourinho
Unamfananisha Gaucho na wasiojua mpira kama wewe aisee..Wewe hujui kuangalia mpira
Ila Neymar sijui nini kilimpata huyu kaka, ilitegemewa ndo awe mrithi wa Messi vs Cr7Nakataa kwa herufi kubwa. Hajafika hata talent aliyokuwa nayo neymar
Binafsi kwangu Gaucho ni GOAT kuliko Messi, sema akistaafu mapema mpira, LolGaucho ndio namba 10 bora kuwahi kutokea hapo Barcelona.
Gaucho alikua hachezi mpira, ila ana uchezea mpira.Ukiambiwa uchague most skilfull player kati ya JJ Okocha,Neymar na Gaucho unaenda na nani?
Mimi; Okocha,Gaucho kisha Neymar.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ila faulo aliwafunga Liverkuku pale Camp NOU ukimwambia mtu ile ni AI wala hataweza kubisha, yule mtu alizaliwa kwa ajili ya soka na Antonella Rocuzzo tu basi
Mmmh acheni uongo bhana, ile foul mie niko nayo kwa cm, ni hivi yule mchezaji wa mwisho aliukwepa mpira usimgonge usoni, sio kwamba messi alipiga angle nzuri mwenyewe binafsi.Van djik anakuambia walienda dressing room akakuta Allison Becker na wenzake wanaangalia wanajiuliza amefanyaje mbona kama kuna vitu haviwezekaniki!
Klopp mwenyewe alicheka tu baada ya goli yeye mwenyewe alifurahia goal.
Halafu anakuja huyu dogo anaandika utumbo humu
Neymar ana skills kuliko Gaucho? Acha zako bas, khaaah.Umemsahau neymar hapo.. ni kiboko zaidi kwenye skills, ila hakuuchukulia mpira kwa adabu sana, shida alikuwa mtu wa show off zaidi kuliko maelezo hiki kimemuharibia sana, ila kwa skills ni bora zaidi ya hao wote.
Mbona km sifa za gaucho umempa neymar, sijaelewa.Naenda na neymar bila kupepesa macho, neymar ni more skillfull kuzidi hao wote wawili, shida tu alikuwa na mbwembwe nyingi mnoo mpaka anaacha mambo ya msingi, ila gaucho basic kwanza kisha burudani inakuja ndani ya basic..
Mfano, pasi inatakiwa iende sehemu atapiga no look pass au kisigino na mpira utafika kule ama wakati mwingine skilss zake alizitumia kusimplify mpira
Neymar na okocha walikuwa na burudani ambayo inauwa jambo la msingi, sehemu ambayo anatakiwa aachie mpira ye anaung'ang'ania, anaweza kumsubiri mtu ampige kitobo ama kanzu.. hii inaleta burudani ila inauwa burudani kamili
Ushawahi kumuangalia okocha akicheza?Gaucho alikua hachezi mpira, ila ana uchezea mpira.
Halooo! Mtizamo wako lakini kama hujataka kuzua taharukiThis kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Jamaa anataka kujibiwa tu😅😅😅😅Labda kweli ni kiaziOkocha umfananishe na john obi mikel? We kweli kiazi
Neymar ni fundi zaidi, ukisoma hapo utaelewa..Mbona km sifa za gaucho umempa neymar, sijaelewa.
Muache Gaucho wa watu, Neymar mwenyewe atakukatalia unachoandika hapa.
Unataka ubishi katika hili?Neymar ni fundi zaidi, ukisoma hapo utaelewa..
Tafuta clips za neymar na za gaucho utaona neymar ana skills zaidi