Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

Najua watu wataniona mjinga ila Lamine Yamal is talented than Lionel Messi

Labda useme ni zaidi ya messi wakati messi akiwa na umri kama wake. Miaka 17 bado messi hakuwa na impact kama aliyonayo yamal uwanjani. Lakini messi wa kuanzia 20's kumlinganisha na yamal hapa umetukosea heshima wanasoka wote
 
Ngoja afike iyo 20 nae Messi hatogusa
 
Usimkompee Messi na watoto wa buku bee.

Hivi umemfuatilia Messi vizuri wewe,
Futa uzi.
 
Usimkompee Messi na watoto wa buku bee.

Hivi umemfuatilia Messi vizuri wewe,
Futa uzi.
Watoto wa buku 2 sio watu?

What if watu wangetumia logic iyo Kwa Messi kumcompare na pelle na maradona
 
Messi amecheza na wachezaji ambao naweza sema walikuwa bora kuliko Lamine, Sneijder,Herny, Pirlo, Xavi,Iniesta,Busquet, Kross, Modric, Scholes, Rooney, Gerrard, Lampard, Makelele,Ruben,Ribbery,Naymer nk hawa wote ni bora kuliko Lamine, ila Messi alikuwa bora zaidi yao.

Unamzungumzia Uncoachable player, Messi anaweza akawa false no 9 akadeliver ,anaweza akawa namba kumi play maker brain ya timu akadeliver, Lamine hii kitu hawezi msimbebeshe mzigo mzito.

Nikitizama sasa hivi hamna talents za kitisha kama kipindi cha nyuma,Lamine mzuri ila bado ana vingi vya kujifunza.
Umeandika ujinga GERRAD , LAMPARD

haujui kuangalia mpira sio haujui mpira
 
Ukiambiwa uchague most skilfull player kati ya JJ Okocha,Neymar na Gaucho unaenda na nani?

Mimi; Okocha,Gaucho kisha Neymar.
Wengi mnamuweka okocha over neymar mmehadisiwa

Okocha anazidiwa skills na JOHN OBI ambae hakuwa amekutana na mourinho
 
Kizazi hiki kwanza hakina mabeki wenye roho mbaya pia kuna VAR, huyo Vidic na Ferdinand walikuwa na roho mbaya,bado kuna Pepe, Ramos, Terry, Cavaliho nk.
Enzi hizi Ramos na wanzake wangeonekana wehu
 
Back
Top Bottom