Nenda kamuangaloe messi akiwa anavaa Jersey no. 19 mgongoni kwanza akiwa na nywele ndefu kichwani kisha ndo urudi kuandika upya wewe unamuongelea Messi uliyekuja kumuona anacheza mpira akiwa ma miaka 30This kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Kamuangalie yamal aliebeba euro akiwa na miaka 16Nenda kamuangaloe messi akiwa anavaa Jersey no. 19 mgongoni kwanza akiwa na nywele ndefu kichwani kisha ndo urudi kuandika upya wewe unamuongelea Messi uliyekuja kumuona anacheza mpira akiwa ma miaka 30
Kwa sasa naona hata Lamine ameanza mpira wa kufanya team iwe na matokeo zaidi kama alivyokuwa Messi.Kama unataka boli la maonyesho Messi hakuwa na hizo mambo. Hayo mambo waachie Neymar, Gaucho, Yamal
Ila kuhusu kukusanya vijiji na kuisadia timu ishinde iwe kwa magoli, assists, faulo Messi yuko dunia nyingine
Tuseme tu dogo ana future potential ikiwa ataendelea kuwa na consistency
Ulimwengu wa soka kwa makosa uliwahi kutabiri Messi ajaye ni Neymar
Tusiwape presha young talents kuwalinganisha na legends
Shabiki mkongwe wa Barça
End
Messi unayemzungumzia wewe alikuwa anatolewa hadi sub dakika za 70, alikuwa na machachari sana lakini sio kiwango cha kuibeba team kama hivi ambavyo Lamine anafanya.Nenda kamuangaloe messi akiwa anavaa Jersey no. 19 mgongoni kwanza akiwa na nywele ndefu kichwani kisha ndo urudi kuandika upya wewe unamuongelea Messi uliyekuja kumuona anacheza mpira akiwa ma miaka 30
Mimi ni shabiki wa Barca muda sana na kuanzia Messi hadi huyu Lamine Yamal waanza pale Barca nawaona kwa macho yangu.Kamuangalie yamal aliebeba euro akiwa na miaka 16
Sidhani kama Lamine kacheza fainal yeyote ya Uefa wakati Messi ni jini lile aisee ndio mchezaji alievunja rekodi ya kufunga magoli 26 katika mechi mbili za Madrid vs Barcelona.Messi unayemzungumzia wewe alikuwa anatolewa hadi sub dakika za 70, alikuwa na machachari sana lakini sio kiwango cha kuibeba team kama hivi ambavyo Lamine anafanya.
Pia, Messi alikutana na Barca ikiwa ktk ubora wa hali juu eneo la kiungo na beki ya kulia.
Mkuu, embu tuongee kwa facts kidogo. Hapa tunazungumzia katika udogo wao, yaani below 20 nani ambae ni talented. Obviously ni Lamine Yamal. Lamine Yamal ana 17 anaingia 18, yamkini ulikuwa umesahau hili.Sidhani kama Lamine kacheza fainal yeyote ya Uefa wakati Messi ni jini lile aisee ndio mchezaji alievunja rekodi ya kufunga magoli 26 katika mechi mbili za Madrid vs Barcelona.
Mkuu mimi ni Madrid ila baada ya Gaucho niliowaona wakicheza mpira wa ajabu ni huyo Messi lile ni jini kwenye soka..hao wachezaji hata tuwe na mahaba nao sio wa kumuweka level moja na Messi.Mkuu, embu tuongee kwa facts kidogo. Hapa tunazungumzia katika udogo wao, yaani below 20 nani ambae ni talented. Obviously ni Lamine Yamal. Lamine Yamal ana 17 anaingia 18, yamkini ulikuwa umesahau hili.
Messi anabeba UEFA dhidi ya Man U ya Fergson alikuwa above 20. Lamine anabeba trophies akiwa below 20, ikiwemo EURO.
Messi kwa umri wa Lamine Yamal alikutana na mafundi wengi sana pale Barca hasa hasa Xavi, Iniesta, Alves na Sergio B. Lamine anacheza mpira Barca ikiwa ipo vibaya sana financially, ndio maana inachukua akina Rashford kwa mkopo n.k
Kumbuka hata Messi aliondoka Barca sababu ya kuona anachukua mshahara mkubwa sana huku timu ikiwa haina ela, pili aliondoka baada ya kuona timu HAINA uwezo tena wa kusajili wachezaji wa kuendana nae.
Lamina anacheza Barca akiwa na vitoto wenzake kama yeye. Messi aliwakuta akina Saviola, Gaucho, Xavi, Puyol n.k timu ambayo ilikuwa imekamilika haswa, kumbuka Messi alikuwa anaanzia Sub Barca na akina kikosi cha kwanza alikuwa hamalizi ila Lamine anacheza 90 minutes.
Acha kuangalia mpira mkuuNiliachaga kuangalia mpira!! ila nikasema ngoja nimuone huyo Lamine wanae msema huenda kuna cha ziada!!..
Kiukweli sikuona maajabu yoyote, zaid ya kuona mtu anajitutumua tuu...
Uchezajj wake
Ni basics + mazoez
Skills ni kidog sana, halafu zile basics tuu
Aisee kazi ipoThis kid kila siku nikimuangalia nabaki mdomo wazi tu the way he is toying defenders
Vission + composure 💯
Akiamua kuchukua kijiji anachukua vizuri skills yupo 🔥
Anaponichosha anaweza piga pass hatari akiwa sehemu yoyote ya uwanjaView attachment 3571252
Ujue nimeufatilia huu mjadala tangu umeanza. Kiukweli sijajua watu kwanini wamefikia hatua ya kumfananisha tu huyu Dogo na Messi, sijapata jibu kabisa. Kuna dogo pale Barca Anzu Fati nadhani aliibuka ghafla alisifiwa sana ila hakudumu kwenye kiwango chake nadhani ni shida majeruhi pia. Lamine anacheza kawaida tu kama wachezaji wengine wa sasa.So,kama unaona maajab makubwa kwake hadi ukafikia hitimisho kwamba anamzidi Messi basi hujaangalia ball na hujawahi kumuona Messi. Haka ka Lamine kanakabwa mpaka na Cucurella...Messi alikuwa anaundiwa tume na timu pinzani jinsi ya kumkaba au kuziba mianya yote asipokee mipira maeneo hatarishi. Morihno ashawahi kuunda mikakati ya kumkaba Messi tu. Huyu Lamine analialia et nakabwa anataka aachiwe akafunge.Diego Simion alimwambia akacheze Tenesi aache kulialia, huwezi kusikia kwa Messi zaidi alikuwa anawavuruga mabeki hadi hawaelewi kaondoka vipi na mpira. Tafuta solo goals za Messi ndo utajua jamaa alikuwa anachezeshwa na Pad.Niliachaga kuangalia mpira!! ila nikasema ngoja nimuone huyo Lamine wanae msema huenda kuna cha ziada!!..
Kiukweli sikuona maajabu yoyote, zaid ya kuona mtu anajitutumua tuu...
Uchezajj wake
Ni basics + mazoez
Skills ni kidog sana, halafu zile basics tuu
Ujue Swala la makombe ni kitu cha kitimu zaidi au mchango wa wote.Mkuu, embu tuongee kwa facts kidogo. Hapa tunazungumzia katika udogo wao, yaani below 20 nani ambae ni talented. Obviously ni Lamine Yamal. Lamine Yamal ana 17 anaingia 18, yamkini ulikuwa umesahau hili.
Messi anabeba UEFA dhidi ya Man U ya Fergson alikuwa above 20. Lamine anabeba trophies akiwa below 20, ikiwemo EURO.
Messi kwa umri wa Lamine Yamal alikutana na mafundi wengi sana pale Barca hasa hasa Xavi, Iniesta, Alves na Sergio B. Lamine anacheza mpira Barca ikiwa ipo vibaya sana financially, ndio maana inachukua akina Rashford kwa mkopo n.k
Kumbuka hata Messi aliondoka Barca sababu ya kuona anachukua mshahara mkubwa sana huku timu ikiwa haina ela, pili aliondoka baada ya kuona timu HAINA uwezo tena wa kusajili wachezaji wa kuendana nae.
Lamina anacheza Barca akiwa na vitoto wenzake kama yeye. Messi aliwakuta akina Saviola, Gaucho, Xavi, Puyol n.k timu ambayo ilikuwa imekamilika haswa, kumbuka Messi alikuwa anaanzia Sub Barca na akina kikosi cha kwanza alikuwa hamalizi ila Lamine anacheza 90 minutes.
Ronaldinho ni nabii wa mwisho wa soka, asilinganishwe na vitu vya kijingaHata kwa neymar'ronaldinyo hafiki
Ulimshuhudia gaucho au Jay jay?Muda utaongea ila kwa Sasa Messi ndo mchezaji Bora tangu Mpira wa miguu uanzishwe .