Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

Ndio maana nimesema siangalii tena simu ya mtu.. atleast kushare bila kujua.. lkn ukijua inauma sana.. pia this time sitakua na dem mmoja tena.. hii itafanya hata mmoja akinicheat nisiumie sababu na mimi nina cheat
Tukiwaambiaga hapa kuwa mwanaume unapaswa kuwa na mademu watatu mnachukulia poa
Hawa wanawake wenyewe wanatupanga kama treni...wapo gud at oretending kinoma
 
Tukiwaambiaga hapa kuwa mwanaume unapaswa kuwa na mademu watatu mnachukulia poa
Hawa wanawake wenyewe wanatupanga kama treni...wapo gud at oretending kinoma
Nimejifunza this time sifanyi kosa tena la uaminifu..
 
Nigga mwanamke si haumtaki? Na umekuta chats?

Now hii inakupa advantage ukiamua kuruka majoka.

Akilalamika unakumbushia uliyoyaona.

Halafu wanawake jinsi walivyo ingawa umekuta hizo ishu na haujamuambia siku ukimuambia akiwa amezifuta atakutungia stori ya ni za rafiki yangu na hutakua na angle ya kujishikia.

Also waweza muambia amekukosea sana so inabidi mpite rough road ili umsamehe.

Niliposema hiyo ishu inakupa advantage I meant it.

Kuhusu magonjwa tumuachie Muumba.
 
Haya mambo mnaweka masihara sababu hayajawakuta.. 🙌🙌
Mimi nakuambia uhalisia ( bila hisia )
Tukisema tutazame mipango yako....Utamuoa lini?....Ni yeye kweli utakayemuoa?....Ana umri gani kwa sasa?...
Kwenye hayo mahusiano yeye yupo kwenye hatari zaidi kuliko wewe.
Wewe hata ukiwa na 50 years unaoa vipi kuhusu yeye.
KAMA HUJATOA MAHARI/ KUMUOA HAKUNA CHEATING HAPO.
 
Unamaanisha niomgee nae tuyamalize kirahisi? Wakati mara ya kwanza nilimuuliza akasema hana mtu na bado anaendelea nae
 
Hatari sana design una vibes fulani ila jipange tembelea mtaa wa kwa lulenge buza, kila mtu ashinde mechi zake, Pablo kachagua kufungwa Utopolo wanaendelea kufungua matawi kwa kasi ya Mgao wa Makamba. Tareirota?Maleirota? Habari jaliamba? Namnaani? Kugona vihi? Kwabwina? Wakashina? Aulamke? Simba wanida kumahwelu wakale imanda!
 
Kwa hiyo jamaa akazibue chemba au sio🤣🤣🤣🤣
 
Unamaanisha niomgee nae tuyamalize kirahisi? Wakati mara ya kwanza nilimuuliza akasema hana mtu na bado anaendelea nae
No humuulizi muyamalize unamuuliza kumfanya ajue unajua hence uhusiano unakua at your mercy.

Hapo ndiyo utaenjoy advantages nilizokuambia.

Bro hii mbona ni kanuni universal
 
Yeye yuko early 20's mimi niko mid 20's.. actually mimi sikua na mpango wa kuoa sasa hivi lkn kwa jinsi tulivyokua tunaenda kabla ya kuona hizo txt nilikua naanza hadi kupata wazo.
 
Akija kulala kwako Una mgaiyaga pesa? tuanzie hapo kwanza
 
Akija kulala kwako Una mgaiyaga pesa? tuanzie hapo kwanza
Hajawahi kulala kwangu.. but pesa kama 20k , 10k huwa natoa kulingana na kipato changu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…