Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

ALPARSLAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
467
Reaction score
1,181
Ila mbona mikopo yenyewe ya tabu hivyo..
Hata kama ni shida tuvumilie jamani.

Nina rafiki yangu mmoja alitengenezewa group akiwa anaitwa tapeli na wameweka picha yake kilichoniuma ni kuwa amekopa elfu 50 ila walichompa ni elfu 32 baada ya makato inamaana yeye atatoa 29 maana wanamtumia kwenye simu. Alafu wanataka arudishe elfu 54
 
Ila mbona mikipo yenyewe ya tabu hivyo.. Hata kama ni shida ruvumilie jamani... Nina rafiki yangu mmoja alitengenezewa group akiwa anaitwa tapeli na wameweka picha yake kilichoniuma ni kuwa amekopa elfu 50 ila walichompa ni elfu 32 baada ya makato inamaana yeye atatoa 29 maana wanamtumia kwenye simu. Alafu wanataka arudishe elfu 54
Shida ndugu yangu shida mwana haramu
 
Back
Top Bottom