Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

HABARI ZA WAKATI HUU NDUGU WA KARIBU WA_____. ANAFANYA TUJIULIZE, JE TULIFANYA MAKOSA KUMUAMINI NA KUMPATIA MKOPO WA KAMPUNI YA BORAPESA.? KWANINI ANAFANYA VITU AMBAVYO VINAONESHA DALILI ZA KUTOKUWA MSTAARABU? MWAMBIE ALIPE DENI LAKE MUDA HUU.
DENI: 41.000
NAMBA:
MANAGER
BORAPESA
 
Dooh ndo tunako elekea
 
Kuna mshakaji wng alikopa halafu akakataa kulipa walitumiwa sms mpka wakwe zake ilikua aibu sio poa 🤣
alikua anapigiwa cm za jamaa zake kila dakik mbona tunambiwa umekopa hela hutak kulipa akawa anawambia acheneni nao hao ni matapeli tu.
Hakulipa ata tsh 10 mwish wakachana nae
 
Alokopa hadi nikaungwa kwenye group lake akiitwa tapeli huwezi amini anakunja 2.5M kwa mwezi kama mshahara tena take home hiyo na bando kuna vimaokoto vya hapa na pale ila jamaa ana utumiaji mbovu wa hela akajikuta kanasa kwenye vi mkopo vyakijinya kama hivi..
Ilikuwa aibu hadi walokuja kulipa ni Mkuu wa tasisi yao maana nae aliungwa pia kwa hilo group ili kuficha aibu..
Alikopa kwenye kampuni gani?
 
Kuna mshakaji wng alikopa halafu akakataa kulipa walitumiwa sms mpka wakwe zake ilikua aibu sio poa 🤣
alikua anapigiwa cm za jamaa zake kila dakik mbona tunambiwa umekopa hela hutak kulipa akawa anawambia acheneni nao hao ni matapeli tu.
Hakulipa ata tsh 10 mwish wakachana nae
Dooh hio mbaya m ningekuwa nayo ningewalipa
 
walipe sasa kama si tapeli. Umesema hapo juu kwamba hata wakikuanika hujali chochote maana yake hujali lolote juu ya utu wako inaonekana ni mtu fulani mharibifu sana na roho yako ilishakuwa sugu yani huna chembe yoyote ya hofu.
Mkuu Sina ela ningeuwa nayo ningewalipa Toka jana kama nilivokuwa nafanya siku zote
 
walipe sasa kama si tapeli. Umesema hapo juu kwamba hata wakikuanika hujali chochote maana yake hujali lolote juu ya utu wako inaonekana ni mtu fulani mharibifu sana na roho yako ilishakuwa sugu yani huna chembe yoyote ya hofu.
Mkuu nionyeshe niliposema haya maneno" hata wakinianika sitojali lolote"
 
Back
Top Bottom