Kauka Tu! Waache watengeneze Hilo group Lao la sijui la WhatsApp na pia waache watoe hayo matangazo Yao na chochote wafanye, cha muhimu wewe umeshapoza shida zako! Hayo matangazo wewe kwani ni maji ya Moto yakiingia mwili yatakuunguza? Pia alafu elewa kwamba ukipotezea hautaumia, waache Tu wapige kelele sijui wafanye matangazo Yao LAKINI hayatakuwa milele yatafikia siku yatakoma, na wewe utaendelea kupeta. Unakosa usingizi Kwa kelele za kwenye matangazo? Acha ubwege wewe, usiogope, Acha watangaze ikifika usiku watalala Tu!