Mkuu Dawa yao ni Watanzania wengi kuyakopa na kutolipa tu, tuone watadhalilisha wangapi. Mbona kampuni za simu zinakopesha na hazidhalilishi mtu?Hii ipoje kisheria, kumdhalilisha mtu kimtandao si ni kosa la jinai? Kukopa na kuchelewesha deni ni kosa la madai
Je mkipambana mahakamani nani ataumia? Akijitokeza mtu mmoja akawanyoosha hata hiyo mikopo wataacha kukopesha
Mimi nimekopa kampuni 2 sijawalipa, nimewafundisha watu wangu wa karibu kuyakopa. Mpaka yafunge huduma zao za kitapeli.