Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Ila mbona mikipo yenyewe ya tabu hivyo.. Hata kama ni shida ruvumilie jamani... Nina rafiki yangu mmoja alitengenezewa group akiwa anaitwa tapeli na wameweka picha yake kilichoniuma ni kuwa amekopa elfu 50 ila walichompa ni elfu 32 baada ya makato inamaana yeye atatoa 29 maana wanamtumia kwenye simu. Alafu wanataka arudishe elfu 54
Ni nusu Kwa nusu,. Mbona ni kama matapeli tuu. Ila Kwa kulinda heshima yake alipe tuu. Maana nasikia wanatuma meseji Kwa contact zako zote kuwafamisha kuwa mkopaji ni tapeli. Na wenye wasap watatumiwa picha pia
 
Unaonekana huna cha kupoteza kwenye jamii, huna reputation yeyote, yaani hohehae
Alokopa hadi nikaungwa kwenye group lake akiitwa tapeli huwezi amini anakunja 2.5M kwa mwezi kama mshahara tena take home hiyo na bando kuna vimaokoto vya hapa na pale ila jamaa ana utumiaji mbovu wa hela akajikuta kanasa kwenye vi mkopo vyakijinya kama hivi..
Ilikuwa aibu hadi walokuja kulipa ni Mkuu wa tasisi yao maana nae aliungwa pia kwa hilo group ili kuficha aibu..
 
Hata ungekuwa nayo usingelipa mkuu Mimi nawajua Sana waswahili mbele ya hela
Mkuu hii sio mara y kwanz kuwakopa nilikuwa nawakopa nawarejeshea ndani ya muda uliopangwa Ila mambo yameenda ndivo sivyo mkuu nimekwama yani sin namna mambo yameenda ndivo sivyo ela sina
Hata ungekuwa nayo usingelipa mkuu Mimi nawajua Sana waswahili mbele ya hela
Mkuu sio mara ya Kwanza kuwakopa nilikuwa nawakopa na nawarejeshea ndani ya muda niliopangiwa ILa kwa Sasa mambo yameenda ndivo sivyo mkuu
 
Mkuu hii sio mara y kwanz kuwakopa nilikuwa nawakopa nawarejeshea ndani ya muda uliopangwa Ila mambo yameenda ndivo sivyo mkuu nimekwama yani sin namna
Mkuu sio mara ya Kwanza kuwakopa nilikuwa nawakopa na nawarejeshea ndani ya muda niliopangiwa ILa kwa Sasa mambo yameenda ndivo sivyo mkuu


Mbona umeuliza kuwa nisipolipa watafanya nini ?
 
Back
Top Bottom