Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Wiki iliyopita si ni li kopa pesa x ikawa natakiwa nirejeshe pesa nusu mara mbili ndani ya siku 14 yani kila baada ya siku Saba nirejeshe.

Sasa rejesho la kwanza lilikuwa jana ila cha moto nakipata! Aloo najuta, sio kwa meseji hizo ninazotumiwa!

Kwani nisipolipa watanifanya nini tofauti na kuwapigia wadhamini wangu?

Pia soma: Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni
Dawa ya deni kulipa, na co kulipa tu, kulipa kwa wakati.
 
Haha, hao wanazingua sana asee! Kwenye suala la kukudai wanadai kama vile umekopa Million kumbe umekopa Tenii tu ..kuna msela wangu walimsumbua wakamtisha kila muda kwa meseji na kumpigia simu..

Aysee, mpaka sitamani kabisa kukopa huko!
 
Back
Top Bottom