Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

Ukikopa unda wewe group mapema liite
"Pesa X coming Soon" wakija na la kwao wanakuta wameandaliwa mpaka maji ya kuoga.
Nimecheka mpaka nimepaliwa 😂😂😂
 
Reactions: Tsh
Niliwahi kutoa ONYO kuwa hii mikopo inakuja bongo kula vichwa, ni suala la muda tu....
Haya tumefikiwa sasa......

Sawasawa mkuu.

Kwa lugha fasaha ya kiingereza zinaitwa "Shark loan"

Lazima umezwe tu hakuna namna...

 
Vimikopo kama hivyo sio kazi ya taasisi kubwa kama benki ...
Muda si mrefu zitaiibuka kampuni za kukopesha kwa kutumia dhamana..
Zinaiitwa Pawn Brokers au Payday loan
Lakini hiyo riba yake ni ya kufa mtu......
Hii ilikuwa 2022, naona sas hii mikopo imepamba moto
 
Kama hauna mshipa wa Aibu haitakuwa na maana. Ila kama unao lazima uwe na aibu na utaumia nafsi.. Wanakutengenezea group ambalo member ni ndugu zako(ulo save namba namba zote) wanaweka na maneno makali sana (kama Tapeli, muogopeni ni mwizi)
Hao ndugu hawaruhusiwi kuleft kwenye hilo group?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…