MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ulilazimishwa ukope? Lipa hela za watu. Acha upuuzi.Sina pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulilazimishwa ukope? Lipa hela za watu. Acha upuuzi.Sina pesa
iPhone ni kazi sana kudukuliwa na hacker wa kibongoKama iPhone je
Nimecheka mpaka nimepaliwa 😂😂😂Ukikopa unda wewe group mapema liite
"Pesa X coming Soon" wakija na la kwao wanakuta wameandaliwa mpaka maji ya kuoga.
Phonebook naweka namba za vituo vya polisi Tanzania nzimaKuna maswali wanaulizq allow...ukitiki yew zinaingia kwa phone yao dir
Kivipi mkuu ?iPhone ni kazi sana kudukuliwa na hacker wa kibongo
😅😅😅😅😅 Wamenuna
Sawasawa mkuu.
Kwa lugha fasaha ya kiingereza zinaitwa "Shark loan"
Lazima umezwe tu hakuna namna...
Hii System inatoka kwa mabeberu wenyewe, na wameshindwa kuzidhibiti hizi kwa kutumia sheria sababu ya uchumi huria... wanachofanya ni kutumia vyombo vya habari kuzichafau na kuwaamsha wananchi, lakini kisheria wameshindwa kuzidhibiti...
labda kwetu tunaweza kuingilia mfumo wa soko la kuzidhibiti..
Hii ilikuwa 2022, naona sas hii mikopo imepamba motoVimikopo kama hivyo sio kazi ya taasisi kubwa kama benki ...
Muda si mrefu zitaiibuka kampuni za kukopesha kwa kutumia dhamana..
Zinaiitwa Pawn Brokers au Payday loan
Lakini hiyo riba yake ni ya kufa mtu......
Pole mkuuNimecheka mpaka nimepaliwa 😂😂😂
OkUlilazimishwa ukope? Lipa hela za watu. Acha upuuzi.
Wanafosi. Si tulikubaliana kama huu ni mwaka wa kufosi?Sasa itasaidia nini wakishanitengenezea Hilo group la what's app??
Hao ndugu hawaruhusiwi kuleft kwenye hilo group?Kama hauna mshipa wa Aibu haitakuwa na maana. Ila kama unao lazima uwe na aibu na utaumia nafsi.. Wanakutengenezea group ambalo member ni ndugu zako(ulo save namba namba zote) wanaweka na maneno makali sana (kama Tapeli, muogopeni ni mwizi)