Najuta kuhamia kwangu Kerege

Yaaani utakuta mtu ananunua kiwanja nje ya mji halagu pia kidogo..mi nashangaa hasa
 
Point mujarabu Kabisa...
 
Akili ya biashara wanaiweza Wachaga. Sasa Mhaya atauza nn na mbwembwe zile?
Binafsi Hizi hesabu za Kiwanja kinapanda thamani huwa sizielewi kabisa.

Nakumbuka mwaka juz Kuna Eneo Eka 1 lilikua linauzwa 25mil uko Kibaha-machinijioni.

Jamaa kashaur sana tununue ili tunapakane Jamaa anauza bei Rahisi Mno.

Nkasema, Nkinunua likakaa afu cha kuwekeza sina Itakua HASARA.

Mwenzangu kanunua, Mi nkaendelea na Na Kuimarisha biashara zangu ile 25mil nkaiingiza kwny mzunguko.

Mwezi Ulopita, Baada ya Biashara kuchanganya vizur.
Nmenunua Kiwanja kizur zaidi Ukubwa ule ule pale pale maili 1 kwa 85mil kikiwa na tofali 219 za block

Ila Sijutii, maana kimenunuliwa mda muafaka kabisa kwa ajili ya kukitumia.

Jamaa angu, Biashara zake zimeyumba.
Hana bajeti tena ya kupaendeleza.

Na manispaa wanamzingua kua kama hatopaendeleza ananyang'anywa hati ya umiliki ifikapo DEC mwaka huu.

Kiwanja chake nakiona bado kipo tu kinaendelea tu kusubiri mteja mwezi wa 3 sasa maana katangaza Anauza 75mil.
 
75m hamuuzii mtu hapo utakuja kununua 20m tena akikusumbua mno. Njaa mbaya ndugu
 
YAANI UKISOMA KOMENTI ZA BAADHI YA WADAU HUMU,
HALAFU WEWE ND'O UNA KIWANJA CHAKO NJE YA MJI HUKO KAMA VILE VIKINDU, CHANIKA MAPINGA N.K
UNAWEZA UKAJIONA BONGE LA NDEZI NA UKATAMANI KUKITELEKEZA KABISA KIWANJA CHAKO-

KUMBE WENGI WAO WANAKOMENTI WAKIWA SEBLENI KWA SHEMEJI ZAO WANASUBIRIA UGALI WA SHIKAMOO NA HAWANA HATA GODORO LA FUTI 2½ KWA 6 !!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe jamaa umenichekesha sana... kwamba afanye yote ila asiache kunywa Pombe?
 
Ndugu katika maisha ukisema uige mtu husogei....nmchukua mkopo nkatoa kitu mwandege navutia kasi tu mwendokasi uje wakati now nakula daladala zangu mwandege posta...i..wakati kuna jamaa zangu walibeba mkopo wakanunua harrier tako la nyani now linawala tu mafuta.....watu wanapiga kelele za kupanga nyumba sinza sijui tabata hawajui hizo ni investmwnt za wajanja miaka 20 nyuma na miji inakua kwa kasi.....nakumbuka maza alinambia mbezi beach pale makonde tu walikua wanalazimishwa kununua kiwanja...mwisho wa siku akili ya kuazima changanya na yako
 
Mkiitwa mazuzu msiwe mnabisha, heka 1 ni 70×70 = 4900 Sqm.

Let's say 10,000/= per square meter times 4900 = 49,000,000/=

Hiyo ni bei ya kigamboni au kama una muda uliza wizarani bei elekezi kwa kila sehemu, naandika haya kama mtaalam wa real estate. Mnapigwa kifala sana.
 
Neema, mwakidila, masiwani shamba, Japani, pongwe kote huko viwanja bei rahisi. Hata huko kange sio sehemu zote mbaya
wenger, tanga sehemu gani? sehemu mzuri.. Kange Kasera kubaya, udongo ufinyanzi kwa mvua za sasa shida balaa! asra, uzunguni bei zao kubwa sana... over 20M
 
Kumbe nina jirani humu,msumi sehemu ipi mkuu.
Tujuane,ingawa mimi nimekomaa na umbali hadi nimezoea.
 
Kwani nyarugusu hakuna outing ? Umeshafika Nyarugusu ?
 
Hata nimeshituka ununue kiwanja 85,000,000/= kibaha mail8 moja?
 
Kwa gharama unaweza kuwa sahihi. Ila socially akiwa Sinza atapata muda wa kuona hata familia. Huko Kerege ndio unaamka SAA 10 watoto wamelala, unarudi SAA 4 watoto wamelala
Akishakua kwake kwa vyovyote kuna hela nyingi atakua anaokoa

atakapogundua sasa napata shida ya ku socialize na ndugu,jamaa na rafiki akili itapanuka atawaza (solution)

akigundua shida ni foleni nadhani atapata wazo la kununua Piki Piki aweke hapo nyumbani

mara moja moja unachelewa kuamka unawaona watoto then unaenda kazini Kwa piki piki atapenya popote

kama ni kurudi anaweza kuamua siku kaenda na piki piki akawahi kurudi Chap saa mbili yupo Ndani

kwa vyovyote vile akiishi kerege hawezi tegemea Gari tu lazima awaze njia nyingine rahisi ya kumuwezesha

Kuwahi kufika kazini na kuwahi kurudi nyumbani, Akiweza ku master hilo game ataweza kuishi popote pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…