Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Kerege mbona ni mjini kabisa
Watu wanakaa mbele ya Msata na wanafanya kazi Dar kama kawaida
Kutokana na maelezo yabuzi wake, kapigika huyu, aliiba sana wkt wa JK so upepo uliyumba.

Kijana huyu hajui faida za nje ya mji na wakati watu wanajipanga kuishi nje ya mji yeye hakuwa na mipango imara, hata familia hana kama anayo hajui kuishi kikabaila 😁
!.
 
Back
Top Bottom