Najuta kuhamia kwangu Kerege

Wahindi wametushinda akili.
Wahindi sio kwamba hawataki kujenga. Ila wao hawana uraia wa mtu mweusi kwao ni India/Uk au Canada. Ndo maana hawajengi bongo maana wanajua mtu mweusi akili yetu ilivyo hamchekewi kupigana wenyewe kwa wenyewe ndo maana mfuko wa nyuma ana Passport ya nchi ya Mbele kikinuka anachukua begi tu anasepa anakuwa hana muda wa kuwaza nyumba.
Sasa wewe mtz asilia una ardhi ya kutosha halafu usiwe na nyumba kisa muhindi hana.
 
acha uwoga wa maisha mie mambo yalivyokua magumu ubungo nikahamia kwangu mlandizi changamoto ikawa ktk mafuta maana ni kilometa 60 kutoka dar.nikacheki nikacheki fulsa nikaona corana inakunywa wese pili ata nikipakia abiria asubuhi mpaka karikoo ninapakia abiria 5 kila abiria tsh 3000*5=15000 kurudi napakia abiria 5 mpaka mbezi 2000*5=10000.mbezi to mlandizi 2000*5=10000...ukijumlisha kwa day nakua tsh 35000.nikaona sijafikia lengo nikauza corona nikaongeza pesa nikachukua noha asubuhi nashuka na abiria 10 sawasaw 30000 kurudi 40000 jumla 70000.kwanza nimejiongezea kipato pili sismbuliwi kodi sasa na wewe anaglia fulsa labda kama unatumia gari ya kifahari maana kutoka karikoo mpaka tegeta kunakua nashida jioni na kutoka tegeta asubuhi kunakua nashida asubuhi sasa huko kerege tafuta abiria wa asubuhi mpaka town tsh 3000 jioni pakia mpaka tegeta tsh 2000 tegeta to kerege 1000 kama unaweza waweka abiria 5 ktk gari utakua kila siku unatengeza tsh 30000.utajiondoa ktk mafuta kabisa ila kama mmenunua migari yenu ya kitajiri ukimwambia abiria kerege buku 3 atajua unampeleka msitu wa pande
 
Unawaambia watu ambao mmoja kasema anapata 200k Kwa siku wamemshambulia hadi kabadili gear angani? Hawawezi kukuelewa
Vijana wengi hawana uthubutu wa kufanya maamuzi magumu kama wazazi wao.

Mtu anapata 15M anakimbilia kujenga kisa asifiwe ana kwake.

Wengi hawajui umuhimu wa kuwa na cashflow ya maana. Akikosa hela ya luku anakupiga mzinga ili hali ana hela aliifukia chini kisa anamiliki kiwanja.
 
Unawaambia watu ambao mmoja kasema anapata 200k Kwa siku wamemshambulia hadi kabadili gear angani? Hawawezi kukuelewa


Hahahaahaha!ww ndo.umeniamsha zaidi...wacha wafu wazikane..si unaona wanavyokebeh...sasa wakikusikia ww wataenda kuloga kbs..!
 


Mimi uthubutu nilioufanya sio wa kikawaida...niliamua kuiacha familia yangu..at first ilikua mbilinge mnoo(as u kbw wanaume wa kiafrica mlivyo)lakini leo hii mm mume ndo ananikumbusha kuwa oya km kule kunalala ww nenda!upo??ni mm tu nikatae..ameona nn nafanya!ukijitoa kwenye circle ni rahis sana kupiga hatua...ningebak hapa ningeendelea kuchek mishahara imetoka lini kuanza kukimbizana weee na kamshahara ka magu😏!acha niteseke najua nn nataka!
 
Sasa hivi fursa zipo nyingi tu:

Watu wanakula, wanavaa, wanasafiri, wananunua mahitaji yao ya kila siku.

Unasemaje fursa hakuna? Huu ndo muda wa kufanya biashara ambazo hazihusiani na serikali moja kwa moja.
 



Huu nao ni upoendo wa dhati kbs..safi sana
 
Hapo unapoteza 5 hours a day kila siku njiani.

Kwa week unapoteza 25 hours (assuming unafanya kazi 5 days/week).

Kifupi ni kwamba, kwa week unapoteza almost siku nzima umekaa kwenye foleni.

Kwa mwezi? Kwa mwaka?

Bado nasema, wabongo hatujajua thamani ya muda.
 
Kwa hiyo kujenga ni uoga wa maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️🥰
 
Umefumania milioni kumi na tano,umeajiriwa,muda wa kufanya mambo yako binafsi ni mchache sana hivyo huwezi kusimamia biashara. Swali,anayeamua kujenga hata kama siyo kwa kumaliza na atakayefanya biashara katika hali kama hiyo nani anazika pesa mkuu
Watu mna mawazo ya kimaskini mnoo,hivi mmetokea familia za aina gani? Kwa hiyo ukikosa muda wa kusimamia biashara,suluhu pekee ni kujenga nyumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…