AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Wahindi sio kwamba hawataki kujenga. Ila wao hawana uraia wa mtu mweusi kwao ni India/Uk au Canada. Ndo maana hawajengi bongo maana wanajua mtu mweusi akili yetu ilivyo hamchekewi kupigana wenyewe kwa wenyewe ndo maana mfuko wa nyuma ana Passport ya nchi ya Mbele kikinuka anachukua begi tu anasepa anakuwa hana muda wa kuwaza nyumba.Wahindi wametushinda akili.
Sasa wewe mtz asilia una ardhi ya kutosha halafu usiwe na nyumba kisa muhindi hana.