Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Haipo.hyo biashara mkuu..haiwezekani .nasema haipo!humu jf kuna watu wanapenda sana kujimwambafy...!unawezaje kupata 200k@!au free.mason??manengelo anatengeneza 200k per day.yuko vizuri π
Duuh pole sana mkuuVibaka washabeba smart TV na laptop imebid nisinunue vingine mpaka ntakapoweka ukuta na electric fence
Uliacha kazi?Mimi uthubutu nilioufanya sio wa kikawaida...niliamua kuiacha familia yangu..at first ilikua mbilinge mnoo(as u kbw wanaume wa kiafrica mlivyo)lakini leo hii mm mume ndo ananikumbusha kuwa oya km kule kunalala ww nenda!upo??ni mm tu nikatae..ameona nn nafanya!ukijitoa kwenye circle ni rahis sana kupiga hatua...ningebak hapa ningeendelea kuchek mishahara imetoka lini kuanza kukimbizana weee na kamshahara ka maguπ!acha niteseke najua nn nataka!
Ahahahahaha..Pamoja mkuu.Huu nao ni upoendo wa dhati kbs..safi sana
Mwezi Ulopita, Baada ya Biashara kuchanganya vizur.
Nmenunua Kiwanja kizur zaidi Ukubwa ule ule pale pale maili 1 kwa 85mil kikiwa na tofali 219 za block.
Ahahah mkuu usikariri mambo plz.Ww unaweza ita ni kupoteza muda ila mm naona this is personal mode of time spending.Hapo unapoteza 5 hours a day kila siku njiani.
Kwa week unapoteza 25 hours (assuming unafanya kazi 5 days/week).
Kifupi ni kwamba, kwa siku unapoteza almost siku nzima umekaa kwenye foleni.
Kwa mwezi? Kwa mwaka?
Bado nasema, wabongo hatujajua thamani ya muda.
Watu wanakera mnoo mkuu.Wana mentality za kizee mnoo.kijana amebahatisha kupata 10milion kwa shida mnoo,anaikimbizia kwenye ujenzi.
Ha ha ha! 85m kiwanja Kibaha maili moja awamu ya JPM sio?Sasa mkuu tofali 219 zimeongeza nini kwenye kiwanja cha 85M..?
Lengo lako kuzitaja hapa ni lipi, kwamba ndo zilichangia kukushawishi ununue au vipi.... ni kama 200k tu hizo kununua.
Hongera kwa kununua kiwanja bei kubwa Maili Moja.
chanika posta sio mbali kiivyo.dala dala zipo nyingi za ruti zote huwa natumia one hour na 30 minutes kufika ofsin daily kwa public transport.Dar moro masaa mawili hadi matatu kwa private ..lakini Posta Chanika inaweza chukua hadi saa tano kutegemeana na barabara ilivyo hiyo siku. So sijaelewa point yako unaongelea umbali au matumizi ya muda barabarani.
Sasa mkuu tofali 219 zimeongeza nini kwenye kiwanja cha 85M..?
Lengo lako kuzitaja hapa ni lipi, kwamba ndo zilichangia kukushawishi ununue au vipi.... ni kama 200k tu hizo kununua.
Hongera kwa kununua kiwanja bei kubwa Maili Moja.
Safi na hongera kwa hilo.Ahahah mkuu usikariri mambo plz.Ww unaweza ita ni kupoteza muda ila mm naona this is personal mode of time spending.
Muda wangu wa kazi ni ule ule 12 hours kama ww ila nilichoamua ni kujipunguzia tu muda wa kupumzika ndugu yangu.Ww unavyolala mm nakua nakua macho na nina mudu hilo for the sake other issues.Unajua tuna sacrify mambo mengi sana (kwangu binafsi Muda) kwa ajil ya ku save other purposes sijutii hilo.
3 hours daily kwenye public transport zinanitosha sana kusoma vitabu ,kufikiri, kutafakari na ku plan mambo yangu.Na hivyo ndivyo nautumia muda wangu huo ambao mwingine anaona kama napoteza.Safi na hongera kwa hilo.
How?Disgusting
Ningekuwa nimeajiriwa, hata ningepata 10M, ningeacha kazi right away na kufocus kwenye biashara 24/7.
Watu wanaacha kazi kisa tu amepata 5M mtaji wa biashara sasa wewe wa 15M inakuwaje hapo?
Ishu ni suala la determination, focus na hard working. 15M ni mtaji mkubwa sana wa kutengeneza cashflow ya 10-15M na faida ya 2-3M kwa mwezi.
π€£π€£π€£sio....nilikua natania bwana
Africa sisi jinga Sana Indi yeye toka Bombay panga nation housing juu lala chini duka,parking iko vx v8 shabani nafuta ing'ae. kujenga kwa ulimwengu wa sasa si indicator ya maendeleo tena
Mkuu usibishane nae huyo,..muache aamini aaminicho.Haya mawazo sio ya mtu mkomavu,
1. Nyumba ya m50 mjini unaongelea mji upi?
2. Harusi hata kama inafanyikia morogoro ikiisha hata saa 8 usiku kama una usafiri wako private hakuna tatizo lolote.
3. Ulivyoongelea Disco imenipelekea kutambua uchanga wako. Huenda tunabishana na watoto wetu huku.
You have to be man enough to own a house in Dar es Salaam.