Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mimi uthubutu nilioufanya sio wa kikawaida...niliamua kuiacha familia yangu..at first ilikua mbilinge mnoo(as u kbw wanaume wa kiafrica mlivyo)lakini leo hii mm mume ndo ananikumbusha kuwa oya km kule kunalala ww nenda!upo??ni mm tu nikatae..ameona nn nafanya!ukijitoa kwenye circle ni rahis sana kupiga hatua...ningebak hapa ningeendelea kuchek mishahara imetoka lini kuanza kukimbizana weee na kamshahara ka magušŸ˜!acha niteseke najua nn nataka!
Uliacha kazi?
 
Mwezi Ulopita, Baada ya Biashara kuchanganya vizur.
Nmenunua Kiwanja kizur zaidi Ukubwa ule ule pale pale maili 1 kwa 85mil kikiwa na tofali 219 za block.

Sasa mkuu tofali 219 zimeongeza nini kwenye kiwanja cha 85M..?

Lengo lako kuzitaja hapa ni lipi, kwamba ndo zilichangia kukushawishi ununue au vipi.... ni kama 200k tu hizo kununua.

Hongera kwa kununua kiwanja bei kubwa Maili Moja.
 
Hapo unapoteza 5 hours a day kila siku njiani.

Kwa week unapoteza 25 hours (assuming unafanya kazi 5 days/week).

Kifupi ni kwamba, kwa siku unapoteza almost siku nzima umekaa kwenye foleni.

Kwa mwezi? Kwa mwaka?

Bado nasema, wabongo hatujajua thamani ya muda.
Ahahah mkuu usikariri mambo plz.Ww unaweza ita ni kupoteza muda ila mm naona this is personal mode of time spending.
Muda wangu wa kazi ni ule ule 12 hours kama ww ila nilichoamua ni kujipunguzia tu muda wa kupumzika ndugu yangu.Ww unavyolala mm nakua nakua macho na nina mudu hilo for the sake other issues.Unajua tuna sacrify mambo mengi sana (kwangu binafsi Muda) kwa ajil ya ku save other purposes sijutii hilo.
 
Hiyo gari unaifanyia service mara ngapi kwa mwaka?

Gari ya kukusanya watu 10 kila siku kwenda na kurudi which is 120km, inahitaji maintanance ya kufa mtu.

Umeiweka kwenye gharama zako? Au hiyo revenue ndo profit?

Gari inayoenda 120 Km kila siku inahitaji siku 90 (miezi mitatu) kumwaga oil (inacost kitu kama 150K) na service zingine kama shockups n.k.

Linganisha na gari inayoenda 30 km kila siku ambayo itahitaji siku 300 kumwaga oil at the same cost. Anatumia less fuel na gari haichoki haraka.
 
Watu wanakera mnoo mkuu.Wana mentality za kizee mnoo.kijana amebahatisha kupata 10milion kwa shida mnoo,anaikimbizia kwenye ujenzi.

Nyinyi watu wenye hela mna dharau sana. Kwahiyo mtu akiamua kutumia milioni kumi yake kufanya anachotaka, wewe unaona hizo ni akili za kizee na unakereka? Mbona humuambii kwamba hiyo m10 anaweza kuiingiza kwenye biashara na ikapotea yote akabaki mikono mitupu? Au watu wote wanaofanya biashara hua wanakua matajiri?

Tatizo watu mnadhani biashara ni kitu rahisi ambacho kila mtu mwenye mtaji anaweza tu kufanya na kufanikiwa kama nyie mlivyofanikiwa. Mnasahau kwamba kuna vinasaba chungu nzima vya biashara mtu anatakiwa awe navyo ili aweze kufanikiwa. Pia, hata mazingira mtu anayoishi, shughuli anazofanya, uzoefu, mzunguko wa fedha nk vyote hivi hamsemi nyie mnachoona ni mtu akipata m10 baasi afanye biashara atapata laki 2 kwa siku
 
Sasa mkuu tofali 219 zimeongeza nini kwenye kiwanja cha 85M..?

Lengo lako kuzitaja hapa ni lipi, kwamba ndo zilichangia kukushawishi ununue au vipi.... ni kama 200k tu hizo kununua.

Hongera kwa kununua kiwanja bei kubwa Maili Moja.
Ha ha ha! 85m kiwanja Kibaha maili moja awamu ya JPM sio?
 
Dar moro masaa mawili hadi matatu kwa private ..lakini Posta Chanika inaweza chukua hadi saa tano kutegemeana na barabara ilivyo hiyo siku. So sijaelewa point yako unaongelea umbali au matumizi ya muda barabarani.
chanika posta sio mbali kiivyo.dala dala zipo nyingi za ruti zote huwa natumia one hour na 30 minutes kufika ofsin daily kwa public transport.
 
wewe umeshangaa kama mimi

tofali 219 hata chumba kimoja hazitoshi.. ila jamaa kazitaja kwenye kiwanja cha milioni 85..

tofali 219 kwa bei ya tofali moja buku.. hapo ni laki 2 na elfu 19 tu.. ila jamaa tofali 219 zimemshawishi kununua kiwanja milioni 85 kibaha


Sasa mkuu tofali 219 zimeongeza nini kwenye kiwanja cha 85M..?

Lengo lako kuzitaja hapa ni lipi, kwamba ndo zilichangia kukushawishi ununue au vipi.... ni kama 200k tu hizo kununua.

Hongera kwa kununua kiwanja bei kubwa Maili Moja.
 
Ahahah mkuu usikariri mambo plz.Ww unaweza ita ni kupoteza muda ila mm naona this is personal mode of time spending.
Muda wangu wa kazi ni ule ule 12 hours kama ww ila nilichoamua ni kujipunguzia tu muda wa kupumzika ndugu yangu.Ww unavyolala mm nakua nakua macho na nina mudu hilo for the sake other issues.Unajua tuna sacrify mambo mengi sana (kwangu binafsi Muda) kwa ajil ya ku save other purposes sijutii hilo.
Safi na hongera kwa hilo.
 
Safi na hongera kwa hilo.
3 hours daily kwenye public transport zinanitosha sana kusoma vitabu ,kufikiri, kutafakari na ku plan mambo yangu.Na hivyo ndivyo nautumia muda wangu huo ambao mwingine anaona kama napoteza.
 
Ningekuwa nimeajiriwa, hata ningepata 10M, ningeacha kazi right away na kufocus kwenye biashara 24/7.

Watu wanaacha kazi kisa tu amepata 5M mtaji wa biashara sasa wewe wa 15M inakuwaje hapo?

Ishu ni suala la determination, focus na hard working. 15M ni mtaji mkubwa sana wa kutengeneza cashflow ya 10-15M na faida ya 2-3M kwa mwezi.

Mpaka utakapogundua kwamba binadamu tunatofautiana, ndio utajua ni kwanini kuna mtu anafanya kazi ya kuajiriwa na wewe unafanya biashara. Mtu anafanya kitu kutokana na uwezo wake wa akili unavyomuongoza, na fursa alizokutana nazo. Ndio maana kuna wafanyabiashara, kuna mafundi, kuna wakulima, kuna wasomi, kuna wasio na kazi nk. Ni ajabu kwa mtu anaefanya shughuli fulani kumshangaa anaefanya shudhuli nyingine wakati hujui huyo mtu akili yake, mazingira, na maisha yake kiujumla yamem shape vipi.
 
🤣🤣🤣sio....nilikua natania bwana

Mfano we Manengelo unatengeneza laki 2 kwa siku. Hiyo ni sawa kabisa kulingana na mipango uliyofanya, mazingira uliyokutana nayo, fursa, connection, na akili yako ya biashara. Je, ni kila mtu ana akili, fursa na mazingira kama hayo? Je, ni sahihi kumuona ambae hatengenezi laki 2 kwa siku kuwa ni mjinga, au ni mvivu? Je, hapo unapofanyia biashara zako, watu wote wanaofanya biashara kama hiyo nao wanaingiza laki 2? Sasa mambo kama haya watu hawayazungumzi, wanachukulia kijuu juu tu kwamba sisi tusio na hela tunaokimbilia kujenga ni wajinga, bora tufanye biashara!
 
Africa sisi jinga Sana Indi yeye toka Bombay panga nation housing juu lala chini duka,parking iko vx v8 shabani nafuta ing'ae. kujenga kwa ulimwengu wa sasa si indicator ya maendeleo tena

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Shabani, hili jina lina historia gani na baniani..? Wahindi wengi sana wana mtumwa anayeitwa Shabani.
 
Haya mawazo sio ya mtu mkomavu,

1. Nyumba ya m50 mjini unaongelea mji upi?

2. Harusi hata kama inafanyikia morogoro ikiisha hata saa 8 usiku kama una usafiri wako private hakuna tatizo lolote.

3. Ulivyoongelea Disco imenipelekea kutambua uchanga wako. Huenda tunabishana na watoto wetu huku.

You have to be man enough to own a house in Dar es Salaam.
Mkuu usibishane nae huyo,..muache aamini aaminicho.
Nakumbuka miaka 2 nyuma naanza ujenzi msumi baba yangu mzazi alitamka
"Ukianza kuishi huku hata harusi hautaweza kuudhuria."
Nilimshangaa nikamuuliza baba,umeona harusi ni kitu cha maana sana kwangu.
Na home siku zote waliamini napenda kujirusha,..na ikumbukwe sina gari na nafurahia kuwa kwangu.

Nilicheka zaidi juzi kati kazinguana na mama ananiambia ki utani lakini,."ungekuwa na vyumba vingi ningekuja kukaa kwako.
Alishasahau kama alinishangaa nakuja kujenga mbali.
Na haya ndiyo maisha hata watu wa karibu wanaweza kukubeza kwa kile ufanyacho,sembuse hawa wa humu tusiowajua.
 
Back
Top Bottom