Najuta kuhamia kwangu Kerege

Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=)..
Kerege ipi?
 
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=)....
Wewe kidume unauza nyumba kwa ajili ya kuwaogopa wezi? Nunua bunduki walie doria dondosha wawili hawatarudia. Mimi siwezi kuuza nyumba kwa ajili ya Wezi lazima niue hata mmoja
 
Wewe kidume unauza nyumba kwa ajili ya kuwaogopa wezi? Nunua bunduki walie doria dondosha wawili hawatarudia.Mimi siwezi kuuza nyumba kwa ajili ya Wezi lazima niue hata mmoja
Na uombe uwaue kabla hawajakuua wewe.
 
Tatizo la kujenga nje ya mji hata ukisema upangishe hiyo nyumba huwezi pata mpangaji,we unafikiri nani akapange kilomita zaidi ya 35 kutoka town ni ngumu....
Nina kiwanja kipo pongwe ukipita mzani mbele kidogo Kama unaenda muheza yeyote anaekitaka anicheki PM

Bei milioni 8 tu umeme,maii yako kwenye process kupelekwa ,kimepimwa na hati Ina jina langu .

Serious buyers mnicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…