kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
Mi nimeshangaa Patel kukaa kwenye apartment nikajua atakua kajichanua zake Masaki hukoWahindi si wenzenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nimeshangaa Patel kukaa kwenye apartment nikajua atakua kajichanua zake Masaki hukoWahindi si wenzenu
Tumia usafiri wa pikipiki kama unaweza endesha japo risky!Yaani ukishazoea gari jamani kurudi kwenye daladala inabid wito haswa!
Mkuu nikupongeze kwa uamuzi wa kujenga na kuhamia kwako. Hongera sana.Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Kutokana na sasa hela kuwa ngumu nimeweka ukuta mfupi, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba kupitia kwa madalali na Zoom haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
Jamaa Ni bilionea wa kutupami nimeshangaa Patel kukaa kwenye apartment nikajua atakua kajichanua zake masaki huko
Unahitaji?Iyo nissan x trail unauza?
Najua mkuu jamaa walipiga pesa sana enzi za mkwereJamaa Ni bilionea wa kutupa
Pengine tulibaki wachache ambao hatukufaidi Zama zilenajua mkuu jamaa walipiga pesa sana enzi za mkwere
mi nimeshangaa Patel kukaa kwenye apartment nikajua atakua kajichanua zake masaki huko
Alikopanga Yakimshinda Anarudi HomeSure
Kweli kabisa usemayo, mfano kama yeye anatumia usafiri wake na mahitaji yake kaini yanafikia Laki 4 wakati akitafuta madalali kama Magomeni ama Ilala ambapo sio mabli na posta anapata nyumba ya kupanga kwa laki 2 na nusu hadi tatuWatanzania huwa Hatupigi hesabu za mafuta na muda tunaopoteza ndo maana tuko radhi tukajenge mbali kuliko kupanga. Tukipiga hesabu bora kupanga karibu ma shughuli zako kuliko kuishi mbali hata kama ni kwako