Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

hv wanatoa china au kigoma?. kuna mtu ashawahi nambia kwamba vitengr vinatoka kgoma,kgoma wanatoa burundi na congo!! sjui n sahh?
Lakini Congo zamani nakumbuka vitenge vilikuwa bei rahisi zaidi kuliko Tanzania
 
Ni kama unafanya kazi Arsha alaf ujenge moshi alaf uhamie kwako kila asubuhi na jion ufunge safari kwa gari binafs ni lazma uone nyumba haina maana lakin kujenga Ni kitu cha muhim
Kweli kabisa..japo kuna anko wangu anafanya kazi Arusha afu kajenga moshi kila siku anaenda na kurudi kwa gari binafsi na hajawahi lalamika, mi naona mtoa mada ujana ulikuwa unamsumbua
 
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).

Kutokana na sasa hela kuwa ngumu nimeweka ukuta mfupi, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba kupitia kwa madalali na Zoom haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.

Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.

I love the windows!! Nyumba inapata hewa ya hela yote walllaih!

Don’t sell it, things will work out!
 
Inawezekana ikawa ngumu kwako kuamini...lakini ukizichanga karata vyema migodini ni kugusa tu..
Mfano ukawa in Gest vyumba 30! Na bahat mgodi uwe umelipuka...saa3 asbh vyumba pomoni...@10000/-..mgodi ukianza kukata daily vymba ni 2000/- hapo una uhakika wa 60/- achana na zile za fasta fasta...mwenzako nilishazipokea Sana hizo. .siandiki tu mradi...!
 
Inawezekana ikawa ngumu kwako kuamini...lakini ukizichanga karata vyema migodini ni kugusa tu..
Mfano ukawa in Gest vyumba 30! Na bahat mgodi uwe umelipuka...saa3 asbh vyumba pomoni...@10000/-..mgodi ukianza kukata daily vymba ni 2000/- hapo una uhakika wa 60/- achana na zile za fasta fasta...mwenzako nilishazipokea Sana hizo. .siandiki tu mradi...!
sawa
 
Ebu rudi nyumbani. Tuko bunju b. Tulivamiwa na vibaka, tukaibiwa tukapigwa na mapanga, vibaka ndio usiseme walivyotunyanyasa, ila sasa tumekomaa, tuna umoja, sungunsungu na tumejipanga, miaka kama 6 au 7 hatujasikia wala kuumizwa na hao ndorobo. Njoo kwenye boma lako ulifurahie, tutakupa mikakati..
 
Ni Bora upange sinza nyumba ya milioni moja na nusu kuliko kwenda kuishi bagamoyo. Mafuta kwa mwezi,maji ya kununua,yaani Ni Shida.
 
Mkuu shukuru hata umejenga japokuwa ulikuwa hujajipanga, ila naamini ulijipanga ndo maana ukajenga....kuna vijana hata chumba cha kupanga ni utata..
Sana sana, kwanza anaweza pata solution kama akitulia, kama kutafuta kazi ya karibu au kufanya biz, ulinzi shirikishi na mbwa wakali, amshukuru mungu kamjalia kujenga boma kali kama hii, kwanza sijuwi yuko wapi maana hajarudi kabisa kwenye thread yake?!
 
Ni Bora upange sinza nyumba ya milioni moja na nusu kuliko kwenda kuishi bagamoyo. Mafuta kwa mwezi,maji ya kununua,yaani Ni Shida.
Acheni kudanganyana,tatizo mnaangali ulipo leo ila hamjui kesho mtakuwa wapi,Kwa ushaur mdog tu ni kwamba Ukikaa kwako ni heshima kubwa sana,unakuwa huru,unapanga mambo binafsi bila bughdha yyte na mkumbuke maisha yanabadilika huwez jua kwamba kila siku utakuwa na uhakika wa kodi ya nyumba..Thanx
 
Back
Top Bottom