RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Huwezi kupata mpangaji huko Kerege?Asante Mkuu nakaa Kinondoni kuanzia j2 usiku mpaka ijumaa usiku narudi Kerege. Kukwepa foleni/umbali wa Posta-Kerege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kupata mpangaji huko Kerege?Asante Mkuu nakaa Kinondoni kuanzia j2 usiku mpaka ijumaa usiku narudi Kerege. Kukwepa foleni/umbali wa Posta-Kerege
ANAKUJA PM KUKUPA MWONGOZO MKUU.Sister ninashida na wewe, naomba unicheki PM.
MPE MWONGOZO MKUU.Kuacha gari yako na kugombea bus la kawe mbagala au gongolamboto masaki hata uwe na mind ipi si kitu rahisi
Asee huko hapanaKaribia 8kms kutoka lami - Bagamoyo Rd.
Manengelo upo 'matawi' waallah!Kweli kila mtu anawaza ajuavyo yeye...yaan nipewe laki 2 kwa mwezi??hapana...!ila kuna biashara kichaa sana...labda ujenge nyumba ukopee mkopo mzuri benk...mwee huyo laki 2 mm naipata kwa siku 1!nah!
Hili linaeleweka mbona?Labda sikueleweka..ishu hapa sio jirani akiniona nimeshika chuma la eicher atasemaje .ishu ni yale mazoea mzee baba!hapa hakuna cha elimu ya kujitmbua wala nn...!kuna kaulemavu kapo sana ukizoea kutembelea gari!wenyewe wanakajua!
Manengelo upo 'matawi' waallah!
Kipato cha laki2 kwa siku, wewe siyo wa sport sport.
Maana yake ni kwamba pensheni ya mtu aliyesoteshwa kazini miaka 30+, wewe unabeba kwa mwezi mmoja!
Sijizuii kukupa hongera, upo vizuri.
🤣🤣🤣nimeshampa mwongozo mkuu😅ANAKUJA PM KUKUPA MWONGOZO MKUU.
Sister ninashida na wewe, naomba unicheki PM.
HAPO KWENYE KUWAPA MWONGOZO HAPO ND'O NNAPOKUKUBALI.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeshampa mwongozo mkuu[emoji28]
Sikushangaa , nilisifia kwamba upo position bora.Unashangaa biashara za laki 2/kwasiku kaka??humu kuna jamaa alinifata pm akashangaa mnabisha..yy iwe isiwe anaingiza 1m!haya tumjadilini huyu sasa!tuiache hii laki2!
Sikushangaa , nilisifia kwamba upo position bora.
Maana mzunguko wa pesa sasa hivi ulivyobadilika, laki mbili kama mapato ya faida, ni biashara kubwa sana na ni biashara nzuri.
Huyu huwa anafurahisha genge tu japo sometime thread zake zina mantiki. Akiona thread inapoa anapost sentensi moja ya kuvutia Watu wanatiririka. Na ni maarufu wa kufufua thread zilizokufaHuwezi kupata mpangaji huko Kerege?
Dah ulinunua Kiwanja kimara mwaka 1969? Huo mwaka hata mama angu hajazaliwa, aisee humu ndani nitaanza kuheshimu watu maana unaweza kumjibu mtu utumbo kumbe hata mzazi wako hamfikiiMkuu vumilia zamani hata Kimara palikuwa shamba na mbali na mji.Tulikuwa tunapishana na viboko na nguruwe.
Usiuze hiyo nyumba utajuta baadae cha kufanya tafuta chumba panga karibu na kazini kwako.Hiyo nyumba ya Kerege tafuta mwenyeji mswahili wa huko muache akae hata bure akulindie mji.
Mimi sijuti kununua viwanja Kimara mwaka 1969 sasa hivi mimi ni kamfalme kadogo
Maendeleo ya majengo na miundo mbinu yanamfuata mtu sio kinyume chake