Najuta kuingalia video ya Joshua

Dogo alikua na ugonjwa wa akili polisi wabaguzi walikosa busara,,,unajua alichofanya kabla ya kupigwa risasi na polisi....japokua polisi walikosea sana kumuua mgonjwa wa akili na ilituuma sana diaspora wa kitanzania..
NB: LAKINI HIYO HAINA TOFAUTI NA MAUAJI YA WATANZANIA HUKO ISRAEL WALIOUAWA KIMAKUSUDI NA HAMAS NA DIASPORAS TUNALAANI PIA
 
Wale wauaji siyo Wapalestina wala Waarabu. Wale ni Ashkenazi Jews. Ni Wayahudi. Waangalie vizuri.
Palestina na jews sio wepesi kuwatofautisha.

Kumbuka ni jamii zenye asili moja.
 
Hayo mashenzy ya Israeli yangezima mtandao wa internet dunia nzima if the need be hadi wahakikishe nakala zote za video zinapatikana na kuwa deleted permanently...
Kwahiyo mashenzy ya kiarabu yameua afu hayakuzima Internet kimakusudi tuone??!!!
 
Maghayo, acha munkar, hakuna mtu anayependa kuona mwenzake anatolewa uhai bila sababu, lakini hali ya Mashariki ya kati ilipofikia inabidi kila binadamu ahuzunike, tumenyamaza kimya sasa tunaona athari ya ukimya wetu. Kwa miaka takriban 70 hao wapalestina wanadhalilishwa na kuuliwa kila kukicha. Kuna waliyopoteza wazazi, ndugu, marafiki na hata makazi yao, wao kufa si kitu cha ajabu, kwani hawana furaha na maisha, hivyo usitegemee wakapoa pasipo tatizo la msingi kutatuliwa. Ni kweli watanzania wenzetu wamekufa, lakini sababu ya vifo vyao ni vita, na vita havina macho. Sisi sote tutakufa ila sababu ya vifo vyetu hatuzijui, hapa kwetu nyumbani wenyewe kwa wenyewe tunauana tena kwa ukatili mkubwa. Kumchukia mwarabu hakutatatua tatizo, bali utajitia kwenye msongo mkuu wa mawazo. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
Mkuu kwani waarabu hawafanyi unyama kwa wayahudi,,,sema wameshindwa tu kufikia malengo yao ya kuwaua wayahudi dunia nzima kisa sio waislamu.
NB: TATIZO LA WAARABU NA WAISLAMU NI UNAFIKI WA HISTORIA
 
Hawa watu ni wanafiki sana,yule mbongo aliyeuawa huko kwenye vita ya Ukraine na Russia mbona hatukuona ubaguzi wa kubagua mpaka Dini? Huu ni unafiki tu.
Hata yule disapora tulilalamika sana maana dogo alikua mfungwa ila akalazimishwa kupigana vita.
NB:NA HIYO HAIALALISHI MAUAJI YA DOGO MOLELI PIA
 
Dunia mzima kwa wenye akili wanaandama kwa vile hujui lugha ndio maana, haihusiani na udini ni Humanity wanaoandamana sio waislam ni wazungu.endelea kusikiliza TV Mariya
Wapi wanaandamana mkuu zaidi ya waislamu na diaspora ya waarabu????
Dunia nzima ipi mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…