Najuta kuingalia video ya Joshua

Najuta kuingalia video ya Joshua

Dogo alikua na ugonjwa wa akili polisi wabaguzi walikosa busara,,,unajua alichofanya kabla ya kupigwa risasi na polisi....japokua polisi walikosea sana kumuua mgonjwa wa akili na ilituuma sana diaspora wa kitanzania..
NB: LAKINI HIYO HAINA TOFAUTI NA MAUAJI YA WATANZANIA HUKO ISRAEL WALIOUAWA KIMAKUSUDI NA HAMAS NA DIASPORAS TUNALAANI PIA
 
Wale wauaji siyo Wapalestina wala Waarabu. Wale ni Ashkenazi Jews. Ni Wayahudi. Waangalie vizuri.
Palestina na jews sio wepesi kuwatofautisha.

Kumbuka ni jamii zenye asili moja.
 
Mzuka wanajamvi.

Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa waliofanya mauaji hayo wakishangilia na kumtukuza Mungu wao.

Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu. Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.

Kuanzia leo sitachanganyikana na Mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa Mkristo. Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na Mwarabu yoyote.

Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.

Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.

R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.

Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Maghayo, acha munkar, hakuna mtu anayependa kuona mwenzake anatolewa uhai bila sababu, lakini hali ya Mashariki ya kati ilipofikia inabidi kila binadamu ahuzunike, tumenyamaza kimya sasa tunaona athari ya ukimya wetu. Kwa miaka takriban 70 hao wapalestina wanadhalilishwa na kuuliwa kila kukicha. Kuna waliyopoteza wazazi, ndugu, marafiki na hata makazi yao, wao kufa si kitu cha ajabu, kwani hawana furaha na maisha, hivyo usitegemee wakapoa pasipo tatizo la msingi kutatuliwa. Ni kweli watanzania wenzetu wamekufa, lakini sababu ya vifo vyao ni vita, na vita havina macho. Sisi sote tutakufa ila sababu ya vifo vyetu hatuzijui, hapa kwetu nyumbani wenyewe kwa wenyewe tunauana tena kwa ukatili mkubwa. Kumchukia mwarabu hakutatatua tatizo, bali utajitia kwenye msongo mkuu wa mawazo. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
 
Si upo Denmark wewe mbona mawazoyako kama upo Nyarugusu...hivi hujawahi kuona wasouth Africa wakifanyia unyama waafrika wenzao??? Au chuki zako ni kwa hao wapambania uhuru wao...Kama si unyama na ukandamizaji wanaoufanya Israel hayo yangetokea?? Hapo ulipo kwa wenye akili mbona kilasiku wanaandamana on behalf of Palestina?? Huna uwezo wa kukwepa madukayao ya halali labda uhame na urudi Nyarugusu.
Mkuu kwani waarabu hawafanyi unyama kwa wayahudi,,,sema wameshindwa tu kufikia malengo yao ya kuwaua wayahudi dunia nzima kisa sio waislamu.
NB: TATIZO LA WAARABU NA WAISLAMU NI UNAFIKI WA HISTORIA
 
Hawa watu ni wanafiki sana,yule mbongo aliyeuawa huko kwenye vita ya Ukraine na Russia mbona hatukuona ubaguzi wa kubagua mpaka Dini? Huu ni unafiki tu.
Hata yule disapora tulilalamika sana maana dogo alikua mfungwa ila akalazimishwa kupigana vita.
NB:NA HIYO HAIALALISHI MAUAJI YA DOGO MOLELI PIA
 
Dunia mzima kwa wenye akili wanaandama kwa vile hujui lugha ndio maana, haihusiani na udini ni Humanity wanaoandamana sio waislam ni wazungu.endelea kusikiliza TV Mariya
Wapi wanaandamana mkuu zaidi ya waislamu na diaspora ya waarabu????
Dunia nzima ipi mkuu???
 
Back
Top Bottom