Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Dini yako ni kansa kwa ustaarabu wa dunia yetuUliwahi kuwalaumu Israel kuua raia wasio na hatia huko Gaza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini yako ni kansa kwa ustaarabu wa dunia yetuUliwahi kuwalaumu Israel kuua raia wasio na hatia huko Gaza?
Dogo alikua na ugonjwa wa akili polisi wabaguzi walikosa busara,,,unajua alichofanya kabla ya kupigwa risasi na polisi....japokua polisi walikosea sana kumuua mgonjwa wa akili na ilituuma sana diaspora wa kitanzania..![]()
Mtanzania Auawa Kwa Kupigwa Risasi Nchini Marekani
MTANZANIA Rogers Kyaruzi mwenye umri wa miaka (30), aliyehamia Marekani akiwa mdogo, ametambulika kuwa ndiye aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Polisi huko Atlanta, Georgia, Jumatano ya Mei 4, 2022 nchini humo.Kyaruzi alikuwa milionea ambaye alimiliki tglobalpublishers.co.tz
Duuuuh,,,,,udini mzigo wa maviWale wauaji siyo Wapalestina wala Waarabu. Wale ni Ashkenazi Jews. Ni Wayahudi. Waangalie vizuri.
Palestina na jews sio wepesi kuwatofautisha.Wale wauaji siyo Wapalestina wala Waarabu. Wale ni Ashkenazi Jews. Ni Wayahudi. Waangalie vizuri.
Kwahiyo mashenzy ya kiarabu yameua afu hayakuzima Internet kimakusudi tuone??!!!Hayo mashenzy ya Israeli yangezima mtandao wa internet dunia nzima if the need be hadi wahakikishe nakala zote za video zinapatikana na kuwa deleted permanently...
Kumbe bado hujajiua? Si ulianzisha thd unataka kujiua? Au ulikua unatafuta tu huruma?Kwahiyo mashenzy ya kiarabu yameua afu hayakuzima Internet kimakusudi tuone??!!!
Maghayo, acha munkar, hakuna mtu anayependa kuona mwenzake anatolewa uhai bila sababu, lakini hali ya Mashariki ya kati ilipofikia inabidi kila binadamu ahuzunike, tumenyamaza kimya sasa tunaona athari ya ukimya wetu. Kwa miaka takriban 70 hao wapalestina wanadhalilishwa na kuuliwa kila kukicha. Kuna waliyopoteza wazazi, ndugu, marafiki na hata makazi yao, wao kufa si kitu cha ajabu, kwani hawana furaha na maisha, hivyo usitegemee wakapoa pasipo tatizo la msingi kutatuliwa. Ni kweli watanzania wenzetu wamekufa, lakini sababu ya vifo vyao ni vita, na vita havina macho. Sisi sote tutakufa ila sababu ya vifo vyetu hatuzijui, hapa kwetu nyumbani wenyewe kwa wenyewe tunauana tena kwa ukatili mkubwa. Kumchukia mwarabu hakutatatua tatizo, bali utajitia kwenye msongo mkuu wa mawazo. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.Mzuka wanajamvi.
Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa waliofanya mauaji hayo wakishangilia na kumtukuza Mungu wao.
Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu. Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe hawatakuwa huru.
Kuanzia leo sitachanganyikana na Mwarabu yoyote wala kusalimiana hata akiwa Mkristo. Sitanunua bidhaa yoyote inayozalishwa na Mwarabu yoyote.
Sitaenda tena kwenye mabucha yao ya halal na migahawa yao ya mipizza kebab.
Nimejisikia vibaya sana. Furaha yangu sasa hivi Palestina kamwe isiwe huru na haitakuwa huru.
R.I.P Joshua na Clemence wakulima namba moja. Msijali mtalipiziwa kisasi tu.
Damu ya wakulima namba moja Joshua na Clemence haitapotea hivihivi nawahakikishia.
Mkuu kwani waarabu hawafanyi unyama kwa wayahudi,,,sema wameshindwa tu kufikia malengo yao ya kuwaua wayahudi dunia nzima kisa sio waislamu.Si upo Denmark wewe mbona mawazoyako kama upo Nyarugusu...hivi hujawahi kuona wasouth Africa wakifanyia unyama waafrika wenzao??? Au chuki zako ni kwa hao wapambania uhuru wao...Kama si unyama na ukandamizaji wanaoufanya Israel hayo yangetokea?? Hapo ulipo kwa wenye akili mbona kilasiku wanaandamana on behalf of Palestina?? Huna uwezo wa kukwepa madukayao ya halali labda uhame na urudi Nyarugusu.
Ustaarabu ni ule kutaka kila nchi ifuate LGBTQ na kufungisha ndoa za jinsia moja kwenye nyumba za ibada kisha kusema kua ndio haki za kibinadamu hizo.Dini yako ni kansa kwa ustaarabu wa dunia yetu
Hata yule disapora tulilalamika sana maana dogo alikua mfungwa ila akalazimishwa kupigana vita.Hawa watu ni wanafiki sana,yule mbongo aliyeuawa huko kwenye vita ya Ukraine na Russia mbona hatukuona ubaguzi wa kubagua mpaka Dini? Huu ni unafiki tu.
Wapi wanaandamana mkuu zaidi ya waislamu na diaspora ya waarabu????Dunia mzima kwa wenye akili wanaandama kwa vile hujui lugha ndio maana, haihusiani na udini ni Humanity wanaoandamana sio waislam ni wazungu.endelea kusikiliza TV Mariya
Hilo pia halikubaliki kuwaua raia wasio na hatia gaza.Uliwahi kuwalaumu Israel kuua raia wasio na hatia huko Gaza?
Sasa hamas si wapalestina pia mkuu...ameuliwa na HAMAS makasiriko unaleta kwa wapalestina wote
Foolish
Sijafa mkuu.....nilikua namuwakilisha mdogo wangu NISHER KUPITIA TAFSIDA..Kumbe bado hujajiua? Si ulianzisha thd unataka kujiua? Au ulikua unatafuta tu huruma?
Hujui kitu, endelea kubetiWapi wanaandamana mkuu zaidi ya waislamu na diaspora ya waarabu????
Dunia nzima ipi mkuu???
Da chalinze lenyewe halipoTanzania haina bomu la kufika hata Somalia
Mimi nina muda sana sijatumia bidhaa yeyote ya BakhresaNahisi km uko Tanganyika ni vigumu kumkwepa bakhresa! Usinunue chochote kitu kutoka kwa huyu jamaa unahitajika ujairi zaidi ya ule wa kuchomoa na kumwaga nje mkuu.
Sasa mkuu kwani Al jazeera na Tv arabiya unaangalia wewe peke yako???Hujui kitu, endelea kubeti
Bidhaa za bhakresa wanarumia masikini na mafukara sababu ni cheapMimi nina muda sana sijatumia bidhaa yeyote ya Bakhresa