TUMIA AKILI
Sio kila mada/topic/jambo unaloliona kwa macho yako ndivyo lilivyo, kiuhalisia linaweza kuwa tofauti kabisa.
Kuna matukio unapoyaona hutakiwi kutanguliza hisia kuya judge, bali akili tu, unapotumia hisia&mihemko unaharibu sehemu ya akili kulitafakali hilo jambo.
The same kwa Tukio hili waTanzania tulitakiwa kutumia akili na sio hisia ili tujue ukweli na undani wa hilo tukio ka kifo.
Dunia ya leo mambo hayatokei kwa bahati mbaya, kuna matukio yanapikwa then yanaachiliwa wazi na kila mtu atatafsiri matukio hayo kulingana na uwezo wa akili yake kuchanganua mambo.
Kuna watakao tumia hisia ambao kwa ulimwengu wa sasa hawa ndio main Target ya mpika matukio maana hawa kwa population ni more than 90% ya watu na hawa ndio wale wasio chambua mambo wala kuyatafakali zaidi ya kuendeshwa na mihemko na hisia kali zinazozalishwa baada ya kuliona tukio ambalo mpikaji alipenda liwe hivyo na lilete matokeo gan kwa jamii baada ya kuona hilo tukio.
Kuna asilimia ndogo sana ya watu ambao hayo matukio yanayoibuka dunian hata yapikwe vipi hayawaendeshi kutumia hisia&mihemko maana wanajua michezo yote ya wajanja.
Anaecontrol media ndiye anaecontrol mienendo mizima ya matukio iwe vipi, na kuteka attention ya watu kiasi gani wakubaliane na ujumbe wa tukio.
Back to topic, kwa anaetumia akili tu na sio mwenye mihemko, ukiitizama hiyo video inaleta maswali mengi na kuibua viulizo kuhusu undani wa kinacholazimishwa kuaminisha watu waamini ndivyo au sio.
[emoji117] labda kinyonga aliponzwa na rangi yake ndipo balaa likampata(kijana huyo huenda hakuwa na tatizo lolote na hao wanaosemekana ni Hamas lkn kwakuwa tu ni mweusi, kama ijulikanavyo watu weusi hawapendwi dunian, hivyo rangi yakeikamponza.
[emoji117] labda nguo yake ya ndani aliyovaa(boksa) yenye rangi ya kijeshi ilimponza kwa kuwafanya hao wanaosemekana ni Hamas kumfyeka kwa kuamini ni miongon mwa mwanajeshi wa kiisrael.
[emoji117]labda nae alikuwa sehemu ya jeshi la siri/mpelelezi kutoka israel ndiomaana kifo kikampata, haimake sense mtu wa kawaida tu kumiliki jezi/vazi la kijeshi.
[emoji117]labda hilo ni tukio la kupikwa na waisrael wenyewe kwa kutafta uungwaji mkono na mataifa yasiyowasapoti kwa kujenga chuki dhidi ya palestina na wanamgambo wa Hamasi, kwa kuua baadhi ya raia wa nchi zisizo isapoti israel na kusingizia ni hamasi wamefanya matukio hayo.
[emoji117]labda ni kweli ni Hamas wametenda hilo tukio lakin bado kunaibuka maswali, haiwezekan raia wa kawaida asiye na siraha wala mjeshi wa kiisrael kuuliwa kinyama vile itakuwa kuna viashiria fulani walivyoviona kutoka kwa huyo raia na kuhisi hatari au mamluki wa kiisrael na hapa tunarudi kule kule kwenye viashiria vya kipelelezi/mamluki kupitia vazi la jezi ya kijeshi au chuki tu ya kibaguzi wa rangi.
Tukio hilo litizamwe kiumakini kwa akili timamu na sio hisia ili tusibase kwenye mihemko na kujikuta tunasapoti ujinga ambao umepikwa na mpikaji katimiza ajenda zake za kueneza chuki.
Hii ni kwaajili ya wenye akili tu na sio vilaza