Najuta kuingalia video ya Joshua

Kama magaidi Hamas wanapigana kwa kujificha nyuma ya raia unategemea nini mkuu? Si ndio hao wamechimba mahandaki kwenye hospital na shule?

Si ndio magaidi huwatumia raia kama ngao?
Umekua braiwashed coz ya uwezo wako mdogo wa uelewa na ufuatiliaji wa mambo,Mpaka leo wayahudi wameshindwa kuthibitisha hayo mahandaki hapo Shifa Hospital,tena clip yao ya hiyo propaganda waliipost kwenye page yao ya Wizara ya ulinzi ila baada ya kushtukiwa na Dunia nzima ikabidi waidelete,

Uwe unafuatilia vitu kwanza,Magaidi ni hao unaowashobokea wanaoua Wanawake na watoto na kupiga Hospitali,Shule na Refugees Camp.
 
Ila wewe hujawa 'brainwashed' kutokana na uwezo wako mdogo wa uelewa na ufuatiliaji wa mambo, magaidi Hamas wameweza kukuthibitishia kuwa Israel inaua wanawake na watoto?
 
Ila wewe hujawa 'brainwashed' kutokana na uwezo wako mdogo wa uelewa na ufuatiliaji wa mambo, magaidi Hamas wameweza kukuthibitishia kuwa Israel inaua wanawake na watoto?
Wewe akili ndogo kaa pembeni huna la maana,naona umejipanga kubishana,Dunia nzima inalalamika hao waume zako wanaua watoto,mpaka katibu mkuu wa UN amesema,kaa pembeni huna akili wewe punguani.
 
Najua jinsi ya kwenda na nyie mnaounga mkono magaidi mkuu, pole!
Ndio unajiongopea na kujiona mwenyewe hapo unajiona umeuliza maswali ya maana? Kumbe umeonyesha tu jinsi huna uelewa na mambo,unauliza viswali vya darasa la pili unajiona umepiga maswali ya maana sio? Wewe unayeunga mkono hao mashoga ndio ujipe pole.
 
Umesema yote Mkuu.
Wengi wa sisi watanzania hawapendi kutumia akili zao kuchambua mambo. Wanaendeshwa na hisia au mihemko.

Kuna uwezekano huyu ndugu yetu alikuwa kizuizi kwao hivuo ni lazima wangemuondoa tu. Sasa tujiulize amewazui nini hao jamaa?, na kwanini?.

Nikimuangalia ni Mmaasai na kuna hii kasumba ya watanzania baadhi hasa wa ukanda wa kaskazini kujiita wayahudi weusi au wayahudi waliopotea na kujinasabaisha na israeli, sio ajabu na huyu alikuwa huko. (Sijasema nimewaza)

Bado kuna hawa watanzania watu wa dini wao ni kuvaa nguo zenye bendera ya israeli, mara waweke kwenye magari kama sticker au vitambaa hadi makanisani inapeperushwa bendera ya taifa lingine bila utaratibu. Hawa nao wakija kupigwa bomu wataanza kulalamika hovyo. Huwenda na huyu alikuwa na vazi au sticker ya hivyo kwa misingi ya kiimani (Sijasema nimewaza)

Mambo ni mengi sana hasa ukizingatia aliyetangazwa kuuawa kipindi chake hichi alikuwa askari wa Israeli, kazi maalumu. Labda na yeye pia who knows! kwani si tumeona watanzania wa huko Urusi kilichotokea.

Tukitumia akili hili jambo sio dogo hata kidogo.

Ukiangalia hizo video ni dhahiri ipo namna aliwakwaza hao jamaa, huyo anayemuuliza swali sijui ni kumfokea, huyo sio chizi kwamba amfokee au kumuuliza maswali mwanafunzi asiyejua kitu, mtu mweusi kutoka Afrika, tena Tanzania. Sio rahisi

Watu wakiwa kwenye kazi zao usijihusishe nao. Utajiponza.
 
Mkuu, hiyo video inapatikana wapi?
 
Kwa hiyoo ukitekwaa ukiulizwa maswali kama huwezi kujua lugha wanayoongea wahusika watekaji wakaamua kukua kisa hawakuelewi lugha yako lakini laiti Joshua angekuwa muislamu ASINGEUWAWA maana kuuliwa kwake sio suala la lugha kiislamu ni Common dunia nzima.
 
Yani bora hata nisingekuwa kimbelembele kuangalia.

Aisee nawachukia sana miarabu,mijitu mikatili sana
Hata mi imeniumiza. Ningekuwa naishi Dar au nina undugu wa karibu wa yule dogo, ningefanya malipizi kwa mwarabu yoyote au ningeandamana kwenye ubalozi wa Palestina nikiwa peke yangu. Imeniumiza sana kwa kweli.
 
Avatar yako inaonesha wazi wewe ni mfuasi wa magaidi, no wonder.

Taqbir.
 
Wewe akili ndogo kaa pembeni huna la maana,naona umejipanga kubishana,Dunia nzima inalalamika hao waume zako wanaua watoto,mpaka katibu mkuu wa UN amesema,kaa pembeni huna akili wewe punguani.
Ukitaka kuangamiza ukoo wa panya, teketeza mpaka mazalia yake.

Israel iendelee na oparesheni ya kuteketeza masala ya magaidi
 
Kuwa nao makini hao,ni dakika mbili wanaweza kukuchinja
 
Daah siwezi kuangalia hiyo video aisee....Vita sio nzuri hawa jamaa inakuaje wanaua hadi watu weusi huku wakijua hakuna Jew kutoka Mbagala...sema Balozi zetu zipo kama mapambo tu hawajaonyesha jitihada yeyote kuwataka raia wao wakiwa hai kama Philippines...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…