Piga makonzi haoDawa ni kumpa laivu Tu. .. Mimi Huyo mtoto SASA hivi akija nyumbani hata kama chakula kimeiva nakwambia nenda ukale Kwa mama. Sitaki kabisa mazoea na hawa watu wanakera Sana.
Jomba LIKUD,Msosi umeiva huyo kaibuka. Tatizo sio chakula. Anakuta watoto wangu wanakula nimewawekea nyama kila mtu na vipande vyake Kwa bajeti yeye huyo mtoto doezi anafika anachukua plate ya chakula anan'gan'gania kisha anaanza kulia eti hataki watoto wangu wale. Hapo mama ake yupo nje .
Ajenge ukuta na geti tuNa wewe unaonekana mswahili huna haja ya kupiga vijembe kupitia muziki ili wakuelewe!
mm kama ningekuwa ww. Na nina hela huyo mtoto wa jirani angekuwa anakuta nimemuwekea mabakuli ya nyama.
Nope sio uchumi. Mimi sitaki watoto wangu wasumbuliwe. My family is a nuclear family. Nataka nikiwa nakula niwe nimekaa kwenye meza moja Mimi na watoto wangu damu yangu.. sitaki allien nyumbani kwangu.. wanawafundisha watoto wangu tabia mbaya na kuwakwaza.Nilichogundua wewe ni (Mchumi ) Ila ungeweza hata kumjumulisha kwenye bajeti yako ya msosi lakini kwasababu huna bajeti naye,; Nikushauri weka uzio hata wa mabati chakavu funga kabisa ubakize mlango ambao utakuwa unaufunga mida ya msosi!
pia zingatia Kama Watoto wako wanapenda kwa watu Basi na kwako watakuja wa watu, Zuia watoto wako kuzurula!
Lakini mwisho wa siku Kero ni sehemu ya jamii! njia nyingine ya kuondoa kero Ni kuivumilia
" Wewe Mwanamke msiniletee maswala ya ki...nge. kwangu sio kituo cha kulelea watoto. Mtoto wako anafanya us..nge humkanyi..qouma.la mm ak..
Kweli kabisa nafikiri huo ndio muafaka sahihi.Ajenge ukuta na geti tu
Sina MKE bro Mimi ni msela. Hawa watoto kila mtu na mama Yao. Sipendi tu watoto wangu kufanyiwa kero. Toto linakuja na mikono yake michafu huko halijaogeshwa linanuka mikojo linakuja kusumbua watoto wangu.Hizo kesi ungewaachia mama zao mkuu.
Mambo ya vyakula wewe jitahidi tu usifatilie sana,Fuatilia yale Mambo Magumu Magumu ya kiume yale au vp bro!