Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Nime "note" kitu;
1. Biblia inasema mwenye nacho huongezewa hivyo unastahili sababu nawe una USWAHILI...utawezaje kutukana hivyo?
Unashindwaje kumwita mamake ukamweleza lwa hekima na sio kwa shari kihivyo?
2. Jenga ukuta hii ni sindano ya moto.
Unahakikisha mageti yamefungea muda wote isipokuwa kwa ruhusa maalum.
3. Mkeo naye mswahili?
Mswahili hutembelewa na waswahili wenzie
The Devil should not be treated gently. Halafu Mimi nimezaliwa kwenye Uislamu nimekulia kwenye Uislamu nimeanza kwenda kanisani mwaka Jana.

Mkuu inaonekana Una ufahamu mdogo Sana kuhusu waswahili. Mswahili ukiongea nae kistaarabu wala hawezi kukuelewa. U deal with them by using their own currency.

Vituko vyote hivyo mtoto wake anafanya mama MTU anaona na hafanyi uamuzi wowote means yeye ndio anabariki upuuzi Huo.

Mswahili ukimuendekeza ataanza kuona NI Halali yake.

Kwa mfano ukiwa kila siku Una mnunulia bia Mwisho WA siku ataona ni Haki yake wewe kumnunulia bia siku usipo mnunulia atakuchukia
 
Sijaruhusu huo ujinga Yani mtoto wa jirani aje nyumbani kwangu halafu awekewe chakula chake MWENYEWE? Akipata madhara ? Utaambiwa umemuwekea sumu kwenye chakula. Waswahili watu WA hovyo sana mkuu Bora wakuone Una roho mbaya kuliko kushirikiana nao kwenye baadhi ya mambo
😂😂😂 basi jenga uzio tuu ata wa waya kama hutaki mazoea
 
Ungetumia hekima ya watu wa pwan i tu unapamkulia unampelekea kwao kila unapojisikia kufanya hivyo na dsiku usipopeleka "hawawezi"kuja kukugongea.

Maana iko wazi hapo lishe tabu tu na umaskini kwa mtoto haujifichi msaidie jirani baba usiwe na roho ya choyo she is 4yrs old show them love utaweza kum control na atakuwa na adabu tu.

Chuki mbaya kwa watoto ni mbaya mno na ni laana
 
Huu uzi mpaka comments umenichekesha sana, utadhani masihara kumbe the movie is real.

Ila naomba nikuulize mkuu swali moja, una watoto 3 unaishi na house girl mama zao uliachana nao.
Swali.

How possible kila mwanamke unamuoa then unaachana nae??
 
The Devil should not be treated gently. Halafu Mimi nimezaliwa kwenye Uislamu nimekulia kwenye Uislamu nimeanza kwenda kanisani mwaka Jana.

Mkuu inaonekana Una ufahamu mdogo Sana kuhusu waswahili. Mswahili ukiongea nae kistaarabu wala hawezi kukuelewa. U deal with them by using their own currency.

Vituko vyote hivyo mtoto wake anafanya mama MTU anaona na hafanyi uamuzi wowote means yeye ndio anabariki upuuzi Huo.

Mswahili ukimuendekeza ataanza kuona NI Hali yake.

Kwa mfano ukiwa kila siku Una mnunulia bia Mwisho WA siku ataona ni Haki yake wewe kumnunulia bia siku usipo mnunulia atakuchukia
Mkuuu mimi sio tajiri LAKINI NIMEJIWEKEA STANDARDS ZANGU.
1. kila nijengapo lazima nijenge ukuta
2. Nachagua sana eneo la kujenga
3.uswahilini mwiko bora nijenge nje ya muji kabisa
4. Sipendagi mwingiliano na mikelele

Hii ndio salama yangu
 
The way unavyo jiexpress hapa it's obviously wewe ni mtu fulani selfish sana (samahani ni maoni yangu tu) ukizingatia huyo ni mtoto hata bado hajakuwa na uwezo wa kutambua kama ana kukwaza au laa sasa kitendo cha wewe kuanza kumwita alien sijui na majina mengine ya ajabu sio vizuri kabisa. Watu wenye maisha unayotaka wapo washajizungushia fensi na mageti makubwa yenye walinzi. Pia hizi case ndogo ndogo za ujirani waachie wakina mama wenyewe watamalizana wewe weka tu bajeti ya kutosha. Na kuwakataza watoto wako wasijichanganye na watoto wengine sio dawa kabisa ya kuzuia wasiwe na tabia mbaya interaction between children is inevitable sababu hata wanavyo soma shule bado watakutana na watoto wengine. Zipo njia za kuwafunza watoto tabia njema lakini sio kwa style hiyo yako tena hapo wewe ndio kabisa unawaharibu.

Sina MKE . Mi msela bro . Ningekuwa na mke nisingeleta Uzi huu Hapa cause nyumba ikiwa na MKE haifanyiwagi ujinga kama huu huwa inaogopwa na kuheshimika. Hata kukopa hela watu wanakuwa wanaogopa.

Mtoto hajui chochote ndio maana nimemfuata mama ake.
 
Mjukuu wa mwenye nyumba. 2 yrs old. Mimi naangalia sana katuni. First time nashangaa dogo huyo, nikamuuliza wewe nani akawa anataja jina ila simuelewi nikamtoa nje babu yake ndiyo akamtaja jina.

Naongea na babu yake yeye kasharudi ndani kwangu.

Sikuona tatizo. Balaa likaja kulilia remote, ukitaka kutoka anakuzuia, babu yake anasema niache funguo kwamba akimaliza kuangalia wafunge wanishikie funguo.

Nimelala nasikia hodi ya kugonga mlango kwa nguvu nafungua ni yeye, kaingia kafikia kujilaza kwenye kochi anasubiri tv. Namuambia mi nalala rudi baadaye ananijibu "Sitaki" hii wiki ya pili sijarudi nyumbani.
Aisee
 
Sina MKE . Mi msela bro . Ningekuwa na mke nisingeleta Uzi huu Hapa cause nyumba ikiwa na MKE haifanyiwagi ujinga kama huu huwa inaogopwa na kuheshimika. Hata kukopa hela watu wanakuwa wanaogopa.

Mtoto hajui chochote ndio maana nimemfuata mama ake.
Bro umefeli sana, nakuomba fuatilia komenti ujijue, inaelekea hujawahi kujijua madhaifu yako.
Yesu aliuliza "watu huni nena mimi ni nani?"
Alitaka kujua kuwa nje ya box watu wanamtamaje na kumuelewaje?
 
Na ww unaonekana mswahili huna haja ya kupiga vijembe kupitia muziki ili wakuelewe!
mm kama ningekuwa ww. Na nina hela huyo mtoto wa jirani angekuwa anakuta nimemuwekea mabakuli ya nyama.
Duh sasa ukifanya hivyo huyo dogo si atahamia kwako kabisa
 
Nakumbuka wakat nmpanga iringa nilikuwa na tabia ya kuweka biskut za chocolaye na juice kweny trei ya vyombo kwa juu

Sasa siku ya kwanza kale katoto ka jiran kameingia kamenikuta nacheki movie nkainuka na kumpa biskut ya chocolate kikasepa

Sasa imepita siku 2 natoka kuoga asubh nisepe....mlango nliegesha tu....kale katoto kakafungua(bila salam) moja kwa moja pale nnapowekaga biskut....!!

Nilikageukia nkampa kofi mpk majiran walisikia....!!

Mpaka nahama hajaingia teena ndan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
 
Bro umefeli sana, nakuomba fuatilia komenti ujijue, inaelekea hujawahi kujijua madhaifu yako.

Yesu aliuliza "watu huni nena mimi ni nani?"

Alitaka kujua kuwa nje ya box watu wanamtamaje na kumuelewaje?
That is Jesus. Never be a too much nice guy. To many people a nice guy passes as a foolish guy.
 
Back
Top Bottom