We acha ...Kuna siku nilikuwa nasafisha nyumba ...kulikuwa na deki ya VCD+=Fm Radio ilikuwa ndani imeharibika kidogo,nakumbuka nilinunua Mwaka 2003=60,000/=Moderator naomba hii comment muiweke Chini ya Uzi wangu kama the most best response to my thread
Ur the true son of Ur father. Wewe ndio umeelewa nilicho kiandika.
Nikaona hii kitu nilipeleka kwa fundi ikamshinda ...kumbukumbu ya Nini acha niitupe .
Nikaona watoto wanaokota chupa ,nkawaambia wake waichukue !
Kumbe nilipoitoa nje Kuna nyoka aliingia ndani!
Kidogo mtoto wa watu ang'atwe!
Sijui ningejiteteaje ?