Kuna mama mmoja namfahamu amewahi kaa jela miaka kadhaa kisa mtoto alikula chakula kwake akafariki, ikasadikika amewekewa sumu.
Haya mambo bwana, Kuna dogo mmoja I know him also. Alikua anacheza na wenzake akaokota kopo la sumu akidhan juis akaipiga akafa uzuri kopo lilionekana, vinginevyo alikua anaenda jela mtu mazima.
Huruma nayo saa nyingine Ina cost sana japo ndo tumeandikiwa.
Siku hizi matapeli wanatembelea mwanya wa huruma na utu wa mtu mwisho wanakuliza. Mtu anajifanya Hana simu anaazima smart yako aongelee kumbe ndo anaamsha nayo dah! Ulimwengu umebadilika Sana.