Najuta kujenga kibanda changu uswahilini. Mswahili ni mtu duni sana

Watoto wape chochote ulicho nacho, haifai mtoto kumnyima kitu et ni kwaajiri ya wanao, mtoto ni mtoto tu, mpe ale ashibe kama atalilia kitu tena.Maisha yanabadilika sana mzee,
 
....ulifanya jambo njema kumface mama mwenyewe watoto...maana sisi waafrika Ni wanafiki sana, jambo linakwaza lakini unalinyamazia huku linakuchoma moyo!!
Uaiogope kumpa MTU za Uso mradi tu use na Uhakika na jambo!![emoji16]
 
Kwa Maneno Yako Sidhani hata Kama UMESHAKUWA BABA...ha ha ha

Hayaa Mkuu!!
 
Duuuh ha ha ha hata hao wazungu hawawi hivyo....

Tatizo lako Hujajua,watoto chini ya 5 Wana TEMPER TANTRUMS....
 
Ha ha ha ha
Na ww unaonekana mswahili huna haja ya kupiga vijembe kupitia muziki ili wakuelewe!!
mm kama ningekuwa ww. Na nina hela huyo mtoto wa jirani angekuwa anakuta nimemuwekea mabakuli ya nyama.
 
Tatizo hapo ni tabia ya Uswahili wa huyo Jirani lakini pia na Umasikini wako

Umasikini mbaya sana aisee
 
Mtakatifu Mathayo
Hit em up
Stop nonsense
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

umenikumbusha Junior,Hukutaka kuwa baba Junior
Biblia iliposema mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata uzeeni na Ujinga umefungwa kwenye moyo wa mtoto kiboko na adhabu itauondoa watu sijui walichukuliaje

Kinachoudhi sio chakula ni tabia za hovyo hovyo watoto wengine sijui wamelelewaje
 
Nimejenga Kerege jirani yangu Jimama la Kikwere, nimelitia siku moja Basi anapiga taarabu za kumdhihaki wife. Inshort wife "Mchaga", limejinenepea, hajui kukata uno, namuona Kama mavvi tu.

Mkeo unamuona kama Navi?
 
Vitoto vya mama ntilie wa migahawa ya uswahilini huwa vinaniudhi sana. Umeagiza zako msosi kinakuja kinasimama mbele yako kinakuangalia unavyokula.
 
sasa kibanda ulitegemea ukajenge wapi. vibanda vyote vipo uswahilini
 
Sina MKE bro Mimi ni msela. Hawa watoto kila mtu na mama Yao. Sipendi tu watoto wangu kufanyiwa kero. Toto linakuja na mikono yake michafu huko halijaogeshwa linanuka mikojo linakuja kusumbua watoto wangu.
We kweli baharia. Ila huyo uliyezaa naye na akakubali kukuachia mtoto wa miaka mitatu, ana moyo mgumu kama wa Halima Mdee asee...
 
Mimi nahisi saa nyengine ni malezi. Ila sio malezi mazuri. Nilienda sehemu kutembea kuna mtoto wa jirani asubuhi amefika kwenye hiyo nyumba basi harudi kwao mpaka jioni .kuanzia breakfast anakula hapohapo .Mimi nikauliza huyu mama mtu hamuulizii mtoto wake mimi nisingeweza. Mama mtu unakaa bila wasiwasi wa kumuita mtoto wako. Na huyo mtoto toys za wenzake anazililia sema huyo mama ni mtu poa anamchukulia tu. Ila wazazi tusiwaachie watoto waende sehemu hasa wadogo lolote likitokea utamlaumu nani? Mleta mada yupo sahihi tatizo sio uchoyo tatizo mama mtu anakausha maybe kwa maisha ya huko uswahilini anaona sawa tu
 

Watu wa Dar wengi wao ndio walivyo hawaoni aibu kila kitu kwao ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…