KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hakuna kazi rahisi fanya kazi inayokulipaNina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.
Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.
Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.
Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Bwana mdogo everything comes at a cost. Omba Mungu akuepushe na majuto ww bado ni mdogo ungeweza kupambana tu na maisha kivyako.Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.
Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.
Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.
Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Kwani shule zimefungwa tena?
Hilo limama anakesha kazi anafanyaje asubuhi tuachene drama hizi