ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Bwana mdogo everything comes at a cost. Omba Mungu akuepushe na majuto ww bado ni mdogo ungeweza kupambana tu na maisha kivyako.
Uongo unanitesa, je nifanyeje niepuke aibu hii?
Nimekuwa muongo sana tangu nikiwa mvulana. Sasa nimekuwa baba mtu mzima ila bado nadanganya hata vitu visivyo na maana najikuta nimedanganya. Nifanyeje ili niishinde kadhia hii maaana nina aibika na kuumbuka na kudanganya huku najikuta tu tayari nimesha danganya.