Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.

View attachment 2124934
Kimeumana. Pole ndugu pambana na ndoa ya kikatoliki hiyo. Mkiambiwa acheni kutafuta sifa mnatuona wazushi
 
Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.

View attachment 2124934
Kwa dau zuri, 'mafundi uchwara' wale wale waliokufungisha ndoa na hiyo gari kimeo, watakutafutia wa kumwachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…