Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.

View attachment 2124934
Hakikisha mfumo wa uchomaji uko sawa, safisha nozzle, badili spark plugs, safisha MAF sensor, Throttle body na cheki Air Filter kama bado iko makini. Likiendelea kula na hapo jua ni jini hilo lazma upate mganga toka pemba tulitoe chapu😅


1MZ - FE hio bonge la engine kama mfuko wako uko vizuri. Inafika 10km/l ikiwa in good working order. 210HP freshi kabisa
 
Back
Top Bottom