Tatizo la wamiliki wengi wa toyota wanadanganywa na kale kaneno VVTi......
Variable Valve Timing with Intelligence.....
Hako kaneno intelligence kamekaa kinafiki sana...na ndipo watu wanapigwa hapa...kwamba inabana mafuta.....
Maana siku hizi Brands nyingi zina mfumo wa VVT.....sema kila kampuni wanita kwa jina lake..Toyota wao wameongza Intelligence..[emoji2957][emoji2957]
Mazda wana kamsemo kao, Nissan wana kamsemo kao....Honda wana kamsemo kao....lakini yote ni lugha za biashara tu.....kinacholwngwa hapa Injini nyingi siku hizi zina VVT....ambayo infact ni solenoid ya kucontrol oil kwenye camshaft ili kusaidia Timing za valves katika uingizaji wa mafuta kweny combustion chamber..
Sawa, hatukatai, inasaidia kuwa na ulaji mzuri wa mafuta lakini siyo kama inavyoongelewa huko mtaani..
Mtu nanaweza akaona injini ya cc 3000 imeandikwa VVTi akajifanriji kuwa hiyo injini inakula mafuta vizzuri kuliko injini mfano ya Nissan yenye cc 2000..
Kabla hujanunha gari, omba ushauri kwa watu wenye uelewa, achana na hawa mafundi wa mitaani...wamekariri.......Wanakwambia Toyota yoyote yenye VVTi haili mafuta mengi..[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]