Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Toka Posta mpaka Mlandizi ni km 40+

Manake lita 10 za gari yako zingetosha kufika kama ingekuwa inakula 1l/4km.

Toka kimara mpaka kkoo ni kama 20km. Manake kwa lita 10 zako inatumia 1l/2km?

Kwamba VXR yenye 5.7l inakula mafuta vizuri kuliko harrier yako yenye 3l?

Something must be wrong, unless unakuza mambo.
Point of corrections mkuu, Posta mpaka Mlandizi ni 66km
 
Ili uondokani na tatizo hilo unatakiwa ubadilishe engine na uweke 5s engine,mimi ninayo hiyo tangu nibadilishe engine huu ni mwaka wa tano ipo vizuri sana na fuel consumption iko poa.
mkuu vipi kuhusu engine za 3s,huwa ni nzuri kwenye fuel consumptions?vipi uimara wake...
 
Terius jid inaniweka mjini asee ,cc650 saafi kabisa,japo nataka nikamate VW Tiguan
 
Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.

View attachment 2124934
Lina mbio?
Peleka umasaini waambie la kusafirishia madini na hela.

Kama halina mbio waambie ni GARI LA UPAKO
 
Back
Top Bottom