Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

labda kuna shida...

Me nimeshatembea na Harrier 40+ Km huku taa ya mafuta inawaka.

Japo ilikuwa ni Haarier ya Cc2360

Af Kimara mwisho mpaka Kkoo hazifiki hata 15Km
Kwa uzoefu wangu, Toyota huwa wanakuwa na reserve kubwa. Taa inaweza ikawaka huku una lita unazoweza kutumia kama 10 hivi.
 
mkuu vipi kuhusu engine za 3s,huwa ni nzuri kwenye fuel consumptions?vipi uimara wake...
Kwenye uimara hapo umefika. Fanyia maintenance inavyopaswa tu. Kwenye consumption inategemea na gari. Nilikuwa napata kama 12kmpl kwenye Rav4.
 
HYO GARI ITAKUWA NA SHIDA.
MIMI NINAYO NIMEINUNUA LAST YEAR MWEZI WA 6. REG DWE.
ULAJI WA MAFUTA NI WA KAWAIDA TU.
MJINI LITA MOJA KWA KM 9 NA SAFARINI LITA 1 KWA KM 12.5 MBAKA 13.

UKITAKA KUIELEWA GARI YAKO ITUNZE VIZURI IFANYIE SERVICE YA KUTOSHA.
NJOO MOROGORO MJINI HAPA NIKUPE UFANYE TEST KAMA NAKUDANGANYA NARUDISHA FEDHA YAKO.
LITA 46(FULL TANK) NATOKA MORO NAENDA DAR NAZURURA SIKU 5 NDIO NAJAZA TENA MAFUTA KURUDI MOROGORO.
FULSA.
MWENYE CASH ANITAFUTE NIMUUZIE. AU MWENYE GARI YA WATU 7 MBAKA 10 AJE TUFANYE EXCHANGE NATAKA KUINGIA KWA BIASHARA YA USAFIRISHAJI SAIZI.View attachment 2167605
20210904_125605.jpg
 
HYO GARI ITAKUWA NA SHIDA.
MIMI NINAYO NIMEINUNUA LAST YEAR MWEZI WA 6. REG DWE.
ULAJI WA MAFUTA NI WA KAWAIDA TU.
MJINI LITA MOJA KWA KM 9 NA SAFARINI LITA 1 KWA KM 12.5 MBAKA 13.

UKITAKA KUIELEWA GARI YAKO ITUNZE VIZURI IFANYIE SERVICE YA KUTOSHA.
NJOO MOROGORO MJINI HAPA NIKUPE UFANYE TEST KAMA NAKUDANGANYA NARUDISHA FEDHA YAKO.
LITA 46(FULL TANK) NATOKA MORO NAENDA DAR NAZURURA SIKU 5 NDIO NAJAZA TENA MAFUTA KURUDI MOROGORO.
FULSA.
MWENYE CASH ANITAFUTE NIMUUZIE. AU MWENYE GARI YA WATU 7 MBAKA 10 AJE TUFANYE EXCHANGE NATAKA KUINGIA KWA BIASHARA YA USAFIRISHAJI SAIZI.View attachment 2167605View attachment 2167606
Full tank lita 45?
 
Kwa uzoefu wangu, Toyota huwa wanakuwa na reserve kubwa. Taa inaweza ikawaka huku una lita unazoweza kutumia kama 10 hivi.
fact mkuu.
mimi npo na harrier hyo hyo. ikiwaka taa sina stress najua nna km almost 40 mbaka 50 za kutembea kulingsna na mwendo wangu.
 
Nina terius kid cc 660 asee kana turbo natumia lt 20 kutoka madale mpaka posta wiki full madumu ya maji na ac,sikaachi
 
capacity ni 50ltr kwa zilizozalishwa na lexus haswa zile za 1998.
ila ukienda sheli ucpoitikisa utapata 46/7 liters.
zipo za liter 65 na 75 pia matoleo ya mbeleni.
Nilishawahi kuwa na harrier ya 65 ltr.
 
Lita 10 Kimara hadi Kariakoo?

Kwamba ukiweka wese la 25,000tsh hivi halitoshi safari ya Kimara<>Kariakoo<>Kimara
Ahahahah..wakati mimi hapo natoka Mkuranga Naingia mbagala huyoo ubungo napitiliza hadi Kibamba karib na mloganzila kule Then Narud Mkuranga 😂😂😂😂😂.
Sikuamin siku nimepiga hiyo route aisee😆
 

Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.

View attachment 2124934
Kwa magari mengi ya Toyota taa ya low-fuel inawaka mafuta yanapokuwa 6-10l kutegemea na aina ya gari, ila inaonesha wewe ukiona taa imewaka ujumbe unaopata ni kwamba mafuta yote yameisha, kitu ambacho sio kweli, wakati taa inawaka huenda kwenye tank kuna reserve ya 5-7l. ili kupata picha kamili ya ulaji wa mafuta ya gari yako weka mafuta full tank, reset odometer, endesha walau km 100. Jaza tena mafuta full uone zitaingia lita ngapi. Gawanya hizo km/lita zilizoingia upate consumption. Kama wengine wallivyoshauri ni vizuri ku-refuel kila inapokuwa half tank, ila ukitaka hizo lita 10 zote ziwe zinaisha ndipo uongeze mafuta mengine taa ya low-fuel itakuletea stress isiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom