Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Toka Posta mpaka Mlandizi ni km 40+

Manake lita 10 za gari yako zingetosha kufika kama ingekuwa inakula 1l/4km.

Toka kimara mpaka kkoo ni kama 20km. Manake kwa lita 10 zako inatumia 1l/2km?

Kwamba VXR yenye 5.7l inakula mafuta vizuri kuliko harrier yako yenye 3l?

Something must be wrong, unless unakuza mambo.
 
Nikuze kwa faida ya Nani?
 
Hili ndio solution ya kukwepa kataaa.. ila kibaba lazima uone mateso kabisa.. ajipinde ajaze full tank.. inakuwa ikifika karibia na nusu anatupia
Mimi ndiyo maana mambo ya sifa sipendi, kigari changu kila nikiingia sheli najaza full tank na mara nyingi huwa haizidi elfu 70 maana ukiwa chini ya nusu naenda kujaza kwa sababu ninauwezo nacho,na muda wote full kipupwe... Sasa hizi sifa za kununua majini wanywa mafuta huwa nawaangaliaga tuu jirani zangu wa navyohangaika na vidumu...
 
Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.

View attachment 2124934
Mhh kwa hio bei mkuu, tena dar? Sidhan kama utapata. Tafuta agent wa mwanza aotee ngosha alotoka kuuza mpunga wake utamuuzia hata kwa 12M
 
Back
Top Bottom