OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
kwa mfano wewe ntakutongoza sababu ya urembo wako. forget about ukarimu, waweza japo kunifikiria?
Mambo mazito hayo
hiki ndicho alichokuwa anakitaka huyu bwana jeki ili aweze kumfikishia mchumba wake ujumbe kiaina aache kutongozwa na wengine,,,sasa mbona kaishasoma hapa! au ndo ulikuwa unamfikishia ujumbe kiaina?
Ha ha aaaah a talented brother hivi bado unapenda kuongelea present kama future?????!!!!!
Hivi simple present ya ntakutongoza ni nakutongoza au nakutongoza sasa?????!!!
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,
Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari,
Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtumia namba za simu, nikitembelea profile yake nakuta vistors kibao wa kiume.
Kama mnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa, ninahofu anaweza nipotea kwa mtindo huu, kinachonitisha zaidi niliamua kutengeneza ID asiyoijua nami nikaanza kumtongoza, kanitumia namba yake na ninachat naye sana na ameshaonesha dalili zote za kunikubali, mtihani ni kuonana naye, naogopa kuweka appointment halafu kweli atokee, nitazimia.
Shiii mdogomdogo mpwa, utaniharibia move ujue.
Mi sijui bhana! !!!GoodLord above!!
Ni kwanini nina salivate nikiona demu hivi sijui? Kuna mwingine ana weakness hii? Yani mate yanajaa kwa mdomo!
Mkuu mbona umeniibia swali langu??? Nataka nijue kama nimeshamkagua then ntakuachia huyo jamvi la wageni.
kabla jogoo hajawika, nilijua utanikana! Hubby nina hamu nawe, uwahi kurudi leo!mkuu mbona umeniibia swali langu??? Nataka nijue kama nimeshamkagua then ntakuachia huyo jamvi la wageni.