Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Najuta kumkaribisha demu wangu JF

kwa mfano wewe ntakutongoza sababu ya urembo wako. forget about ukarimu, waweza japo kunifikiria?

Ha ha aaaah a talented brother hivi bado unapenda kuongelea present kama future?????!!!!!
Hivi simple present ya ntakutongoza ni nakutongoza au nakutongoza sasa?????!!!
 
😕Pole sana kijana.... umesema mlikutania wapi?
 
weka picha

ghana-actresses.jpg
 
Hehehe ndio imetoka hio! Na JF ilivyo more addictive then herroine and crack cocaine kaka atahitaji rehab ya nguvu amabayo hakuna East Africa.
Wanawake inabidi kuishi nao kama watoto wadogo! (hivi nani alisema hio statement?)
 
sasa mbona kaishasoma hapa! au ndo ulikuwa unamfikishia ujumbe kiaina?
hiki ndicho alichokuwa anakitaka huyu bwana jeki ili aweze kumfikishia mchumba wake ujumbe kiaina aache kutongozwa na wengine,,,
 
Ha ha aaaah a talented brother hivi bado unapenda kuongelea present kama future?????!!!!!
Hivi simple present ya ntakutongoza ni nakutongoza au nakutongoza sasa?????!!!

Shiii mdogomdogo mpwa, utaniharibia move ujue.
 
ha ha ha ha unampeleka kwenye utamu mwenzio allafu unamwambia asile ..... jiongeze mkuu
 
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,

Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari,

Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtumia namba za simu, nikitembelea profile yake nakuta vistors kibao wa kiume.

Kama mnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa, ninahofu anaweza nipotea kwa mtindo huu, kinachonitisha zaidi niliamua kutengeneza ID asiyoijua nami nikaanza kumtongoza, kanitumia namba yake na ninachat naye sana na ameshaonesha dalili zote za kunikubali, mtihani ni kuonana naye, naogopa kuweka appointment halafu kweli atokee, nitazimia.

si bora sasa ushajua kwamba mapenzi anaweza yachakachua hivyo uanze ustaarabu mpya. Mi ningesema nashukuru kumkaribisha.
 
Mwanamke ni waziri Asie na Wizara maalum yeye mtu yoyote twende haijarisha katongozewa wapi...
 
GoodLord above!!
Ni kwanini nina salivate nikiona demu hivi sijui? Kuna mwingine ana weakness hii? Yani mate yanajaa kwa mdomo!
Mi sijui bhana! !!!
Bora wewe yanaishia mdomoni wenzio wanatembea na pads kabisa maana sio salivation ni irrigation!!!!!
Halafu kwa nini unachanganya weakness na strength!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Mkuu mbona umeniibia swali langu??? Nataka nijue kama nimeshamkagua then ntakuachia huyo jamvi la wageni.

Wewe tena..!
kama hajakaguliwa hahahahaha sijui bahati yake itakuwa mbaya.
 
Back
Top Bottom