Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Duh kumbe pm kuna mambo mengi yanendelea ehh!!! Ngoja na mimi nianze michakato.
 

Ewaaaaa. Mzima weye?
 
kwanza kitendo cha yeye kukupa namba yake alaf hakufaham na pia anajijua ana mpenz ni dalili tosha huyo ndio tabia yake kua makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…