Najuta kumkaribisha demu wangu JF

kama mpenzi wako yuko hivyo, basi ujue market competition ni kubwa sana!

lazima ujue jinsi ya ku-market product yako kwa mpenzi wako ili competitors wengine waloose market.

la sivyo, product yako itachukuliwa na market nyingine mbali na hii ya JF.

jifunze mbinu za kushinda soko dhidi ya bidhaa nyingine mpya na zile za zamani.

kuwa mbunifu, sio kila siku kitu kile kile tu, consumer wako atakuchoka na kuangalia producer mwingine bora!
 
kabla jogoo hajawika, nilijua utanikana! Hubby nina hamu nawe, uwahi kurudi leo!
wewe binti upo? naona chat zangu hazijapata jibu. halafu nina stori mupya.......... utacheeeekaaaa mpaka mbavu zitafungwa na POP
 
wewe binti upo? naona chat zangu hazijapata jibu. halafu nina stori mupya.......... utacheeeekaaaa mpaka mbavu zitafungwa na POP

Na mie natamanije kucheka lol........dada angu kwa umbea siku wakikusuta usisahau kuniambia nije

nikusaidie LOLZ
 
mkuu, hehe umeleta gombania goli humu jamvini...
watakumegea nakuhakikishia...kuna vibopa humu hamnazo kabisaa afu vina pesa sasa...
havikawii kumuwekea demu wako fungu kama jiwe 7 ya weekend, na ki galaxy s4..akichomoka oa
 
Demu wako yule angekua anatongzwa namimi ningempenda.
 
acha ujinga ukimchunguza mwanamke kwa kina hutokaa uishi na mwanamke wewe acha ujinga fanya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…