Najuta kumkataa

Mwenyezimungu alimetuambia wanaume kuwa tuishi nao kwa akili wanawake.
 
Siyo mchochezi per se....labda nikuite mchechemuaji. Mjanja sana wewe aisee!

Hiyo LA kwenye jina lako inawakilisha Los Angeles ama? Just curious...
🀣🀣🀣 Me napenda watu watoe ya moyoni, sio vizuri kukaa na vinyongo.
Ndiomana nawachochea wayatapike wagombane yaishe!!!

Umelipenda jina langu? Lina swagger za mamtoni? 😜 Lamomy nitakwambia siku nyingine
 
Haya mambo haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

Acheni tu[emoji16]
Mjukuu πŸ˜πŸ˜πŸ–πŸ–πŸ–πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Ishia hapo hapo please 😁
 
🀣🀣🀣 Me napenda watu watoe ya moyoni, sio vizuri kukaa na vinyongo.
Ndiomana nawachochea wayatapike wagombane yaishe!!!

Umelipenda jina langu? Lina swagger za mamtoni? 😜 Lamomy nitakwambia siku nyingine
Endelea tu na uchechemuaji wako. Huwa nacheka sana nikikukuta pembeni mwa moto watu wanaunguzana we na kidumu chako cha petroli ili tu uhakikishe moto hauzimiki mpaka kieleweke! 😁

Kama upo hapa LA sema bana tujuane kha! 😁😁😁
 
Jamaa nilichobaini ana stress,akili yake inamdanganya mwishowe mental illness..
Katika harakati za kutafuta mke wa kuoa, classmate wangu mmoja ni mwanamke aliniunganisha na mfanyakazi mwenzake ni mwalimu...
 
Lawama ndoani zimekuwa nyingi

Hivi huwa mnaongea na wapendwa wenu kuhusu magumu ya kuishi nao ama mnatua mizigo mitandaoni?
yaani haya mambo yanakatisha tamaa kiasi kwamba unawaza na Mimi siku moja nitakuwa 'muhanga' wa afya ya akili..??
 
🀣🀣🀣 Napenda kweli uwe unanitag ukiona sehemu mambo yamepamba moto nije kuwaongezea morali.

Mwenzio naishi bonyokwa LA labda unipe invitation nije kukusalimia 😜
 
Ok sawa
 
Katika harakati za kutafuta mke wa kuoa, classmate wangu mmoja ni mwanamke aliniunganisha na mfanyakazi mwenzake ni mwalimu...
Mkuu mkeo amekufanya nini tena huko ndoani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…