Najuta kumkataa

Najuta kumkataa

Mkuu mkeo amekufanya nini tena huko ndoani?
Hajafanya baya ila naamini yule angekuwa bora zaidi kwani kama nilivyosema ni mshika dini hata utii wake kwangu ungekuwa tofauti na huyu na hicho ni muhimu sana kwa sisi wanaume.Muhimu ni ule ushauri nilotoa wanaume tusiangalie sana muonekano na jinsi tunavyovutiwa na mwanamke kuna zaidi ya hilo tutizame na future ya maisha na familia
 
Ni usaliti wa nafsi ya mkeo kukimbuka zaidi watu wako wa nyuma.Hiyo ni roho uharibifu inakunyemelea.Tamka kwa jina la YESU unaifuta hiyo roho hakika utaishinda.Hiyo ni roho kama ulivyo ulevi sugu.Ilinitesa kama wewe nikaamua kukemea na imendoka.Ukikumbuka kemea weka nadhiri ya kutomsaliti mkeo kwa nafsi Ukiweza hill utapanda viwango vya kiroho
 
Hivi sasa nina mke na watoto wawili lkn nimemkumbuka yule mchumba naona nilikosea kwani nimejua kuwa mambo ya muonekano kwa mwanamke utaeishi nae kwenye ndoa si muhimu ispokuwa ni akili na awe na tabia njema.
Underlined
 
Hajafanya baya ila naamini yule angekuwa bora zaidi kwani kama nilivyosema ni mshika dini hata utii wake kwangu ungekuwa tofauti na huyu na hicho ni muhimu sana kwa sisi wanaume.Muhimu ni ule ushauri nilotoa wanaume tusiangalie sana muonekano na jinsi tunavyovutiwa na mwanamke kuna zaidi ya hilo tutizame na future ya maisha na familia

Nadhani ni dhahiri shahir kuna fukuto huko ndani maana huwezi kuja kutuambia ivo sisi ambao hatujaoa na ambao tumeoa ila all in all [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]huyooo ni chaguo lakoooo[emoji445][emoji445]chaguo lako[emoji445][emoji445]
 
Katika harakati za kutafuta mke wa kuoa, classmate wangu mmoja ni mwanamke aliniunganisha na mfanyakazi mwenzake ni mwalimu.

Kweli tukapanga nikaenda kuonana nae mchumba mtarajiwa nyumbani kwao kabisa. Kwao maisha mazuri, na mtoto mwenyewe alikuwa ni mshika dini.

Lakini sikuvutiwa na muonekano wake kwa hivyo sikuendelea na mchakato wa kumuoa. Hiyo ni kama miaka 15 iliyopita.

Hivi sasa nina mke na watoto wawili lkn nimemkumbuka yule mchumba naona nilikosea kwani nimejua kuwa mambo ya muonekano kwa mwanamke utaeishi nae kwenye ndoa si muhimu ispokuwa ni akili na awe na tabia njema.
msifu huyo uliyenae na kama ana dosari pambana kuziondoa,ndio wako milele
 
Sasa ni Bora huyo ambaye moyo wako unampenda maana unamvumilia,Sisi wenyewe mungu anatuvumilia sababu anatupenda
 
Hajafanya baya ila naamini yule angekuwa bora zaidi kwani kama nilivyosema ni mshika dini hata utii wake kwangu ungekuwa tofauti na huyu na hicho ni muhimu sana kwa sisi wanaume.Muhimu ni ule ushauri nilotoa wanaume tusiangalie sana muonekano na jinsi tunavyovutiwa na mwanamke kuna zaidi ya hilo tutizame na future ya maisha na familia
Mkuu, Mungu huwa anatupa wa kufaana na sisi, wale wanaotufaa huwa wako wengi sana, katika hao wengi wewe ulimuona huyo mama wa watoto wako anafaa zaidi hivyo endelea tu mkuu. Najua ndani ya ndoa kuna changamoto sana. Mwaka 2006/2007 wakati naanza kazi huko vijijini sana sina mke sina hata mchumba wazee wenye familia zao walikuwa wanakuja kunieleza matatizo ya familia zao, asee nilikuwa nachoka sana hasa ukizingatia sikuwa na uzoefu wowote wa mambo ya ndoa wakati unaona kabisa mtu kaja na shida yake anategemea useme kitu labda shida yake/ nafsi yake ipate ahueni. Ndoa ni changamoto.
 
Kweli tukapanga nikaenda kuonana nae mchumba mtarajiwa nyumbani kwao kabisa. Kwao maisha mazuri, na mtoto mwenyewe alikuwa ni mshika dini.

Lakini sikuvutiwa na muonekano wake kwa hivyo sikuendelea na mchakato wa kumuoa. Hiyo ni kama miaka 15 iliyopita.

Sasa mtu hata hukuwa na mahusiano naye wala kupata kujuana naye kiundani, iweje uwe na weweseko naye sasa?
 
yaani haya mambo yanakatisha tamaa kiasi kwamba unawaza na Mimi siku moja nitakuwa 'muhanga' wa afya ya akili..??

Mambo yanaonekana ni magumu kuliko tunavyodhani
Muhimu kumuomba Mungu aepushe uhanga kwenye haya mambo
 
Jambo la kawaida sana kukumbuka mambo yaliyopita kwa kuwa na imani kwamba hali ingekuwa nzuri zaidi ukweli ni kuwa hizo ni imagination tu haimaanishi mngekuwa vizuri.
Huyu jamaa anakumbuka kuwa bora angeoa mwanamke ambaye kwao kuna fedha tayari, kuliko alivyooa mwanamke mzuri lakini masikini, anajikuta hapigi hatua kwa haraka!
 
Huyo mwingine hukuishi nae. Tofautisha kati ya kuwa wapenzi na mke,ni vitu viwili tofauti.

Pia Hujui ambacho ungekutana nacho kwa huyo mwingine. Kuna uwezekano ingekuwa majuto mara mbili ya huyu. Muda mwingine ni tamaa tu zako umemchoka huyo unataka mwingine. Hapo ndipo wanaume wanapanzia kuchepuka.

Pia wanawake wote tabia zao ni hizo hizo. Hawaeleweki. Mwisho tunawakataza kuoa,nyie mnajua tuliooa tunafaidi. Uvumilivu tu. Ishi nae tu kwa akili huyo huyo.
 
Back
Top Bottom