Najuta kumkataa

Stop building castles in the air. Your ex would have even been worser than your current wife.
 
Huyu jamaa anakumbuka kuwa bora angeoa mwanamke ambaye kwao kuna fedha tayari, kuliko alivyooa mwanamke mzuri lakini masikini, anajikuta hapigi hatua kwa haraka!
Na hilo ndilo linalomsumbua uchumi wake chechefu kaoa mke mzuri lakini katoka familia masikini haoni dalili ya kuwa na mafanikio makubwa, kama tujuavyo ukioa basi umeoa familia nzima ya ke, mara usaidie hili mara lile, unaoa familia baba mstaafu mama mkwe ni mama wa nyumbani, inabidi muoaji upige tafu kuokoa jahazi la ukweni kila mara.

Ndoa ni zaidi ya uzuri wa sura na umbo.

Nb: wengi wanaoweka criteria za mpenzi awe na sifa hizi na zile ili awe mke/mume huwa wanaangukiaga pabaya mwisho wa siku.
 
Si kweli......hata huyo ungekuwa nae ungesema heri ungekuwa nae wa sasa. Ridhika na ulichonacho
 
Umeenda kwa gume gume limekuchuna mpaka akili imekukaa sawa.
 
Kwa Hali hiyo ndio maana "KATAA NDOA" Wanachukua point Kila siku🤔
 
Leta picha yake tuconfirm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…