Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

Achana naye huyo haraka Sana. Atakuwa anamipango yake ya Siri ambayo huwa hakushirikishi. Pia huyo siku itakuja atapatashida kubwa na wa kutatua ni wewe, hapo ndipo atajifunza kuwa mnyenyekevu.
 

Unatakiwa kushukuru huenda mungu kakuepusha na kitu.
Hii kuwaunganishia watu kazi alaf baadhi unakuta wanazingua lawama zote zinakuja kwako.wengine wezi afu we ndio mzamini c balaa hilo
 
Ukweli ni kwamba vijana wengi ni.wazinguaji, kuna mambo unaweza ukaambiwa ukahisi ni simulizi za kutunga ila kumbe ni kweli mambo hayo yanatokea na kufanywa na vijana walio wengi tu.
 
🏃Si Ndio kama huyu kikatoon anaomba msaada jua limezama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…