Najuta kumuonjesha

Naona wamekusema sana mdogo wangu, usijali, Nitakusaidia mimi. Naomba lakini unieleze hapo pekundu ulimaanisha nini hasa...
 
Naona wamekusema sana mdogo wangu, usijali, Nitakusaidia mimi. Naomba lakini unieleze hapo pekundu ulimaanisha nini hasa...

nilijaribu kuitafakari kwa kimatumbi lakini sikufanikiwa....hebu atusaidie tujue....
 
Yaani huelewi utafiki unataka kutunga mashairi ya Bongo Flava, mimi ni mkale ile mbaya, aliyekuambia wewe mkali nani, na umejipima kwa stds zipi kuthibitisha hilo?

Mkuu, Hapa ni kama enzi hizo jarida la sani, lilikuwa linakuja na vicho vya habari kama hivi. Tena nakumbuka kuna moja lilikuwa limeandikwa huonjweshi? sasa ni bora babu sani alikuwa anategua hilo fumbo kwa mifano dhahiri, lakini hapa na mimi nimebaki mdomo wazi!
 

hadith yako inatufundisha nn?
 
huyu RussianRoulette kashaota mapembe.umeona eeh..!!
 
achaga kuandika upuuzi humu wewe,, nenda marafiki.com ukawasimulie taka zako...
 
kwann ulimuonjesha sasa unamnyimia nn loh! mpe yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…